wilfred the optimist
Member
- Jul 29, 2015
- 10
- 1
Acha ujinga wewe unaposema ccm inawanachama rasmi 14,566,000 una uhakika walio na kadi wote watawapigia kura mm nawafahamu watu zaidi ya 100 tuliokua na kadi za ccm lkn tumeshawashia moto tumezitupa kabisa think b4 hujaongea ujinga