Kura za Dr. Magufuli dhidi ya Lowassa

Kura za Dr. Magufuli dhidi ya Lowassa

KISESERA

Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
86
Reaction score
38
​Watanzania wengi leo wanajikuta wanashangilia bila kujua msingi wa Ushindi wa uchaguzi ni upi.

LOWASA
  • Lowasa anapata vikundi vya kumshangilia kwa kuwatumia wafuatao
  • Mzee Chizii (Mwizi wa Kura na mjanja wa kukusanya mikutano)
  • Gwajima (Kazi zake kwa sasa anafanyia Nigeria, ambapo Siku ya Jumapili hatoweza kufanya anayoyafanya sasa, kwani hata kanisani kwake hafanyi miujiza yoyote Jumapili)
  • Patel (wanagawa hela za watakaoigiza kuzimia, kudeki barabara nk)

DR. JOHN POMBE MAGUFULI
  • CCM ina wanachama rasmi waliojiandikisha kupiga kura 14,566,000
  • MAGUFULI Anafanya mikutano mikubwa wilaya zote nchi nzima
  • Mama Samia Sululu anafanya mikutano wilaya zote nchini
  • Jumuiya za chama (UWT, UVCCM, JUMUIYA YA WAZAZI) zinafanya kampeni kila kata
  • Magufuli club inafanya kampeni kila kata nchi nzima kila Club ina vijana wasiopungua 80 kila kata
  • Kampeni ya Mama Ongea na mwanao inapita wilaya zote nchi nzima
  • Kampeni ya timu Bajaji inapita mpaka majumbani kwa watu.
  • Watu wengi UKAWA wanamkubali MAGUFULI kuliko Lowasa

KWA KAMPENI ZA NAMNA HII NAMUONA MAGUFULI AKISHINDA KWA ASILIMIA NYINGI.
USIPOTEZE KURA YAKO
PIGA KWA MAGUFULI
 
Tathmini yangu mimi binafsi inaniambia magufuli atampiku lowassa, no way out, ukawa wajiandae na hilo

Hilo halina ubishi kwani EL hakwenda ukawa kuleta mabadiliko bali alienda kutafuta urais akasahau urais aliuacha ccm .
 
​Watanzania wengi leo wanajikuta wanashangilia bila kujua msingi wa Ushindi wa uchaguzi ni upi.

LOWASA

  • Lowasa anapata vikundi vya kumshangilia kwa kuwatumia wafuatao
  • Mzee Chizii (Mwizi wa Kura na mjanja wa kukusanya mikutano)
  • Gwajima (Kazi zake kwa sasa anafanyia Nigeria, ambapo Siku ya Jumapili hatoweza kufanya anayoyafanya sasa, kwani hata kanisani kwake hafanyi miujiza yoyote Jumapili)
  • Patel (wanagawa hela za watakaoigiza kuzimia, kudeki barabara nk)

DR. JOHN POMBE MAGUFULI

  • CCM ina wanachama rasmi waliojiandikisha kupiga kura 14,566,000
  • MAGUFULI Anafanya mikutano mikubwa wilaya zote nchi nzima
  • Mama Samia Sululu anafanya mikutano wilaya zote nchini
  • Jumuiya za chama (UWT, UVCCM, JUMUIYA YA WAZAZI) zinafanya kampeni kila kata
  • Magufuli club inafanya kampeni kila kata nchi nzima kila Club ina vijana wasiopungua 80 kila kata
  • Kampeni ya Mama Ongea na mwanao inapita wilaya zote nchi nzima
  • Kampeni ya timu Bajaji inapita mpaka majumbani kwa watu.
  • Watu wengi UKAWA wanamkubali MAGUFULI kuliko Lowasa

KWA KAMPENI ZA NAMNA HII NAMUONA MAGUFULI AKISHINDA KWA ASILIMIA NYINGI.
USIPOTEZE KURA YAKO
PIGA KWA MAGUFULI

Kwa kampeni za namna hii watu wanakuona uko mpumbavu na rofa, yaani zaidi ya walio semwa na mzee Mkapa.
 
Tathmini yangu mimi binafsi inaniambia magufuli atampiku lowassa, no way out, ukawa wajiandae na hilo

"Magufuli atampiku Lowassa"Hadi hapo umekubali mgombea wenu kapitwa na Lowassa.Kwa taarifa yako Lowassa alishamzidi Magufuli kwa kura nyingi na Kila siku kura zinaongezeka kwa Lowassa na zinapungua kwa Magufuli
 
​Watanzania wengi leo wanajikuta wanashangilia bila kujua msingi wa Ushindi wa uchaguzi ni upi.

LOWASA

  • Lowasa anapata vikundi vya kumshangilia kwa kuwatumia wafuatao
  • Mzee Chizii (Mwizi wa Kura na mjanja wa kukusanya mikutano)
  • Gwajima (Kazi zake kwa sasa anafanyia Nigeria, ambapo Siku ya Jumapili hatoweza kufanya anayoyafanya sasa, kwani hata kanisani kwake hafanyi miujiza yoyote Jumapili)
  • Patel (wanagawa hela za watakaoigiza kuzimia, kudeki barabara nk)

DR. JOHN POMBE MAGUFULI

  • CCM ina wanachama rasmi waliojiandikisha kupiga kura 14,566,000
  • MAGUFULI Anafanya mikutano mikubwa wilaya zote nchi nzima
  • Mama Samia Sululu anafanya mikutano wilaya zote nchini
  • Jumuiya za chama (UWT, UVCCM, JUMUIYA YA WAZAZI) zinafanya kampeni kila kata
  • Magufuli club inafanya kampeni kila kata nchi nzima kila Club ina vijana wasiopungua 80 kila kata
  • Kampeni ya Mama Ongea na mwanao inapita wilaya zote nchi nzima
  • Kampeni ya timu Bajaji inapita mpaka majumbani kwa watu.
  • Watu wengi UKAWA wanamkubali MAGUFULI kuliko Lowasa

KWA KAMPENI ZA NAMNA HII NAMUONA MAGUFULI AKISHINDA KWA ASILIMIA NYINGI.
USIPOTEZE KURA YAKO
PIGA KWA MAGUFULI

Kama mwenyekit kasema waliojiandikish ni milion 28 kwann nawew usisem milion 14??
 
Tena ccm walio hai wataungana na CHADEMA na CUF asilia na wapenda haki ya kweli wote kumlaki Magufuli magogoni. Na hapo ndiyo ule mwisho wa sinema hii ndefu utakapokuwa umefika. Mwenye masikio na asikie mimi nawaambia wote wauchukiao ufisadi, unafiki, uongo, ukigeugeu na mambo kama hayo. Amen
 
Una m@v ww Kanye kwanza
 
Kumbe viongozi wako wanatudanganya kuhusu idadi ya wanaccm
 
CCM ina wanachama rasmi waliojiandikisha kupiga kura 14,566,000

Mwanzo mlisema mnamtaji wa wanachama milioni 5, ghafla mna wanachama mara tatu zaidi..duh!

Dead end for ccm come October 25, 2015
 
one of the most biased analysis and stupidest post this week

Yaani kwa mtindo huu, wacha tu tuonekane kuwa taifa lenye lowest IQ
 
Lowasa ndiye rais,,ccm wanasubilia time iwabebe kwa goli la mkono lkn km ni kura za kupiga moja kwa moja lowasa ameshashinda zmn xn
 
Tena ccm walio hai wataungana na CHADEMA na CUF asilia na wapenda haki ya kweli wote kumlaki Magufuli magogoni. Na hapo ndiyo ule mwisho wa sinema hii ndefu utakapokuwa umefika. Mwenye masikio na asikie mimi nawaambia wote wauchukiao ufisadi, unafiki, uongo, ukigeugeu na mambo kama hayo. Amen

Unanikumbusha sana wakati wa vita vya uganda na iraq, marais amin na sadam waliamua kutembea na mitambo ya kurushia matangazo wakiwa mafichon, wakati hali inaonekana kuwaelemea wao wanawatangazia wananchi kuwa ushindi ni kesho, sote tunajua yaliyowasibu. ccm kuweni wakweli au la mkae kimya. hali kwenu c shwari ila kwa kuwa mmezoea propaganda bac cc yetu macho trh 25 c mbali......
 
Ni utafiti nilioufanya ktk mikoa kumi ya Tanzania bara,kupitia mitandao ya kujamii na vyyombo vya habari na kugundua kuwa kura za Magufuri zinapungua na za Lowassa zinaongezeka na uchaguzi ukifanyika Leo Lowassa atashinda kwa kishindo
 
CCM ina wanachama rasmi waliojiandikisha kupiga kura 14,566,000

Mwanzo mlisema mnamtaji wa wanachama milioni 5, ghafla mna wanachama mara tatu zaidi..duh!

Dead end for ccm come October 25, 2015
wakuu, Mirembe pia wamepewa computer kusaidia wagonjwa wa akili wenye nafuu na wanaojua typing

hajui anachosema, inawezekana kabisa hiyo namba 14,566,000 kaiona kwenye MS Excel kaamua kuipachika tu
 
​Watanzania wengi leo wanajikuta wanashangilia bila kujua msingi wa Ushindi wa uchaguzi ni upi.

LOWASA

  • Lowasa anapata vikundi vya kumshangilia kwa kuwatumia wafuatao
  • Mzee Chizii (Mwizi wa Kura na mjanja wa kukusanya mikutano)
  • Gwajima (Kazi zake kwa sasa anafanyia Nigeria, ambapo Siku ya Jumapili hatoweza kufanya anayoyafanya sasa, kwani hata kanisani kwake hafanyi miujiza yoyote Jumapili)
  • Patel (wanagawa hela za watakaoigiza kuzimia, kudeki barabara nk)

DR. JOHN POMBE MAGUFULI

  • CCM ina wanachama rasmi waliojiandikisha kupiga kura 14,566,000
  • MAGUFULI Anafanya mikutano mikubwa wilaya zote nchi nzima
  • Mama Samia Sululu anafanya mikutano wilaya zote nchini
  • Jumuiya za chama (UWT, UVCCM, JUMUIYA YA WAZAZI) zinafanya kampeni kila kata
  • Magufuli club inafanya kampeni kila kata nchi nzima kila Club ina vijana wasiopungua 80 kila kata
  • Kampeni ya Mama Ongea na mwanao inapita wilaya zote nchi nzima
  • Kampeni ya timu Bajaji inapita mpaka majumbani kwa watu.
  • Watu wengi UKAWA wanamkubali MAGUFULI kuliko Lowasa

KWA KAMPENI ZA NAMNA HII NAMUONA MAGUFULI AKISHINDA KWA ASILIMIA NYINGI.
USIPOTEZE KURA YAKO
PIGA KWA MAGUFULI

Ccm imejipanga hakuna utata aisee magufuli kushinda mbona kawaida aisee, magu atashinda kiulaini sana
 
Back
Top Bottom