kura ya maoni; Zitto vs Mbowe

kura ya maoni; Zitto vs Mbowe

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
14,193
Reaction score
2,815
piga kura yako hapa, kati ya zitto kabwe na mbowe freeman, yupi ana mvuto wa kisiasa zaidi?

acha jazba changia na piga kura yako kimya kimya na kwa ustaarabu, rudi nyumbani kapumzike, subiri matokeo. hairuhusiwi kufanya vurugu.
 
Hii "mivuto ya kisiasa" ilituponza toka mwaka 2005. Tumeshakoma vya kutosha kutegemea "mivuto" ya wanasiasa
 
Mbowe ana utajiri wa fedha si mvuto wa kiuongozi, zitto ana mvuto zaidi (Mninange sasa karibuni)
 
piga kura yako hapa, kati ya zitto kabwe na mbowe freeman, yupi ana mvuto wa kisiasa zaidi?

acha jazba changia na piga kura yako kimya kimya na kwa ustaarabu, rudi nyumbani kapumzike, subiri matokeo. hairuhusiwi kufanya vurugu.
..wote kwa sasa hawafai lakini kama kunaulazima wa kuchaguwa na kama ni tiba mbadala basi angalau anaweza kuwa zzk
 
Ni aibu kuulinganisha mti wa MBUYU na MPAPAI.
Zitto ni MBUYU na huyo macho kumchuzi ni sawa na MPAPAI.
 
Back
Top Bottom