Kura ya maoni,wanaotaka dr slaa aondoke,

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
2,366
Reaction score
832
Katika hali inayoendelea huko cdm,kunamakundi mawili,,moja ni kundi linalotaka dr ajiuzulu uongozi,ikiwezekana atimuliwe, . Ushauri wangu kuwe na kura ya maoni, aondoke au abaki. Mod fanya utaratibu,
 
Kura ya maoni sasa iko wapi?...Hujui jinsi ya kuweka Poll?
 
Nimetoa wazo ndugu,,na sijui jinsi ya kuweka poli.
 
Katika hali inayoendelea huko cdm,kunamakundi mawili,,moja ni kundi linalotaka dr ajiuzulu uongozi,ikiwezekana atimuliwe, . Ushauri wangu kuwe na kura ya maoni, aondoke au abaki. Mod fanya utaratibu,

slaa anapendwa ucpme
 
The process of Photosynthesis

220px-Photosynthesis.gif

350px-Photosynthesis_equation.svg.png

Overall equation for the type of photosynthesis that occurs in plants
 
Mbona ninyi magamba mnahangaikia yasiyowahusu? Mbona hupendezi tuweke poll ya kura ya maoni kati wanaotaka uranium ichimbwe au iachwe?
 
umetumwa? umelipwa kiasi gani kufuatilia mambo ya Chadema, ambayo si kwa ustawi wa watanzania?, hebu leta hapa jamvini vitu vyenye tija, badala ya kuwa mropokaji.
 
Masalia mnahangaika sana ID kibao mnakuja nazo
 
Katika hali inayoendelea huko cdm,kunamakundi mawili,,moja ni kundi linalotaka dr ajiuzulu uongozi,ikiwezekana atimuliwe, . Ushauri wangu kuwe na kura ya maoni, aondoke au abaki. Mod fanya utaratibu,

Mchawi mkubwa wewe kipele cha magamba kuendeleza propaganda za waziimu kwa njia ya mtandao kwataarifa yako wote tushajua kuwa mmetumwa na ccm kuleta habari chafu kama hivi kafie mbele...
 
Watu makini wanaoitakia mema Chadema, watamshauri Dr. Ajiuzulu ili kuivunjilia mbali sectariet ya Chadema hiyo ndiyo njia pekee ya kumuengua ZZK na kundi lakje!. Ikiundwa upya mnamrudisha Dr. Slaa munus masalia!. Hakuna njia nyingine yoyote ya kuwaondoa kwa amani zaidi ya hii, mkiamua kuleta zile timua tumua zenu za jazba kama mlivyowafanyia wale madiwani wa Arusha na Mwanza, "Patachimbika!".
P.
 
Nimetoa wazo ndugu,,na sijui jinsi ya kuweka poli.

hivi kuendekeza kuwagombanisha chadema mtapata faida gani,? Jaman ogopeni sana Mungu dhambi sio tu kuzini na kulewa sjui mtenda jibu nini mbele ya hukumu
 
Watu makini wanaoitakia mema Chadema, watamshauri Dr. Ajiuzulu ili kuivunjilia mbali sectariet ya Chadema hiyo ndiyo njia pekee ya kumuengua ZZK na kundi lakje!. Ikiundwa upya mnamrudisha Dr. Slaa munus masalia!. Hakuna njia nyingine yoyote ya kuwaondoa kwa amani zaidi ya hii, mkiamua kuleta zile timua tumua zenu za jazba kama mlivyowafanyia wale madiwani wa Arusha na Mwanza, "Patachimbika!".
P.

vipi mbona hukumshauri hivo eddo hadi sasa kapagawa had anaumwa kiharusi
 
Back
Top Bottom