The process of Photosynthesis
View attachment 76589
View attachment 76591
Overall equation for the type of photosynthesis that occurs in plants
Watu makini wanaoitakia mema Chadema, watamshauri Dr. Ajiuzulu ili kuivunjilia mbali sectariet ya Chadema hiyo ndiyo njia pekee ya kumuengua ZZK na kundi lakje!. Ikiundwa upya mnamrudisha Dr. Slaa munus masalia!. Hakuna njia nyingine yoyote ya kuwaondoa kwa amani zaidi ya hii, mkiamua kuleta zile timua tumua zenu za jazba kama mlivyowafanyia wale madiwani wa Arusha na Mwanza, "Patachimbika!".
P.
Nimetoa wazo ndugu,,na sijui jinsi ya kuweka poli.

Mbona ninyi magamba mnahangaikia yasiyowahusu? Mbona hupendezi tuweke poll ya kura ya maoni kati wanaotaka uranium ichimbwe au iachwe?
What has Eddo had to do with CCM?, hivi hukujua kuwa Secretariati ya CCM ilivunjwa, Makamba akaondoka?. Jee unajua ni kina nani walienguliwa kwenye CC na ni kina nani walirejeshwa?.vipi mbona hukumshauri hivo eddo hadi sasa kapagawa had anaumwa kiharusi
Nimetoa wazo ndugu,,na sijui jinsi ya kuweka poli.
hivi kuendekeza kuwagombanisha chadema mtapata faida gani,? Jaman ogopeni sana Mungu dhambi sio tu kuzini na kulewa sjui mtenda jibu nini mbele ya hukumu