Kura ya Maoni: Je, unaiamini Taarifa ya Kova Kuhusiana na Mkenya wa Dr Ulimboka?

Je, unaiamini taarifa ya Kova kuhusu mkenya aliyekamatwa?

  • Ndio

    Votes: 1 1.2%
  • Hapana

    Votes: 83 98.8%

  • Total voters
    84
Katika hali ya kawaida wange-retrive numba za simu zilizowasilaiana na Ulimboka mpaka anatekwa wangeshamkamata mtu aliyetengeneza huu mkakati lakini kwa makusudi kabisa wameamua kufanya mambo ya kihuni ili kuwahadaa watanzania. Hakuna kitu hapo hayo ni maigizo tu.

Waretrieve hizo namba kwani wao hawamjui aliyehusika? Acha kuwafanya polisi wajinga. Lengo sio kumkamata mhusika bali lengo ni kutudanganya sisi. Sasa wakiretrieve hizo namba hilo lengo litatimia vipi? Yaani wamkamate Msangi alafu waueleze vipi umma? Acha kuwafanya polisi wajinga.
 
Siafiki. Kova au msangi akija huku kwetu kijijini, nampiga manati ya pua.
 
ahmed.png
Mtaambiwa munamsingizia kwasababu ni muislam,kesi iko mahakamani na mtuhumiwa "alitokea kanisani"kweli ccm kwa mimuvi ya kichina!
 
ukweli ni kwamba unaposema uwongo na ukijua kuwa ni uwongo lazima utajulikana tu, nasubiri reaction ya kova towards gwajima, ila sijui kama atajibu maana huwa hawachelewi kusema swala liko mahakamani
 
Back
Top Bottom