mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,048
- 3,227
Enyi Wajumbe wa bunge maalumu la katiba .
Sioni haja ya nyie kuendelea kubishana , kutukanana na kuzira vikao vya bunge . Mamilioni ya kodi ya wananchi yanapotea bure .
Hayo yote yaachwe kwani mwamuzi wa mwisho ni kura , hata pande zinazozana zipigane pale bungeni ,lakini mwisho wa siku ni kura ndicho kitakacho amua ni nn kinastahili kukaa kwnye Katiba .
Baada ya hapo pia watanzania wataamua wenywe ni nini wanakihitaji .Mpaka sasa Watanzania tushajua ni nn kinacho endelea juu ya muundo wa serikali ,wala hatuhitaji Mikutano tena .
Kaeni chini malizeni kuandaa Katiba ,iletwe kwa wanaanchi na wao ndio watakao amua ni kipi hasa wanataka.
Msifanye katiba ya nchi kua ni katiba ya kutetea na kulinda maslahi ya vyama vyenu.
Msiendelee kuonyesha mapungufu yenu kila kukicha.. tumechoka na bunge hilo maalumu la katiba.