Habari wanajamiiforums nina mota ambaye inatumika kwemye single phase na ina rpm 2800 (mizunguko 2800 kwa dakika).
Nataka niitumie mota hiyo kwenye mashine ambayo yenyewe inahitaji mota iwe na angalau mizunguko 300 mpaka 400 kwa dakika.
Swali langu hapa ni; je nifanye nini kwenye mota hii iliniweze kupunguza mizunguko hii?