Kupunguza mwili baada ya kuzaa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupunguza mwili baada ya kuzaa.

Discussion in 'JF Doctor' started by Siri Sirini, Mar 29, 2012.

 1. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habari, mimi nina tatizo la kunenepa kila nizaapo, nina watoto 3, na wote nimewazaa kwa operation, na mtoto akianza kunyonya nami naanza kunenepa, ila nikiwa na mimba nakonda sana kwa ajili ya kuumwa, sasa watu wananiambia nifanye diet, nami cjui kama kuna diet wakati unanyonyesha, na tumbo langu kubwa, je naweza funga baada ya mda gani? Huyu mwanangu ana miezi 9, naombeni msaada kama naweza punguza tumbo na mwili wakati nanyonyesha.
   
 2. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kwa operation swala la mazoezi ni ngumu na diet kwa mtu anayenyonyesha ni vigumu pia ngoja tusibiri wataalamu.lakini swala la operation kama doctor hajakuassign kuwa operated ni bora kujifungua kwa njia ya kawaida maana unaweza ku control tumbo kwa urahisi kwa kweli mi binafsi nina mtoto lakini hukiambiwa nimeshazaa huwezi amini nimeweza ku control tumbo na mwili kama zamani lakini inawezekana njia za uzazi wa mpango ndo zinachangia kunenepa kwako
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  usile sana,simple!,hamna cha operation wala kufunga tumbo...usitafute sababu ukajiachia na mavyakula,kula balanced diet ila small proportion...
   
 4. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimekuelewa, na kuzaa kwa operation ni doctor alisign, mana njia yangu ndogo, na kuhusu njia za uzazi wa mpango sijawahi 2mia, ila nataka kuanza kutumia nikishaanza matumizi.
   
 5. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuhusu chakula wala cli sana, ni kiac cha kushiba, na siendekezi mavyakula ya kunenepesha, yani hapa ndipo ninapaangalia zaidi.
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We usikute ni wale wanaoshindiliaga mtori, uji wa ulezi na supu zilizojazwa blueband maana kwa style hiyo lazima unenepeane bila break.

  Jitahidi kula vyakula visivyojazwa mafuta mengi (kula matunda na mboga mboga nyingi huku ukipima vyakula vingine ulavyo) na kama kidonda kilishapona anza mazoezi madogo madogo huku ukiongeza. Kama bado kua atleast unatembea kila siku mara moja au mbili kwa mida wa dakika 45-60 kila mara.

  Hongera na kila la kheri mwaya.
   
 7. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  hii ni kweli mtu akijifungua huwa anajisahau sana kwa kuendekeza misosi minono
   
 8. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa hvyo vyakula ulivyosema wala cvili, najua vyanenepesha, ila ushauri wako nitaufanyia kazi, nashkuru.
   
Loading...