Kupotea kwa simu pamoja na vyeti + ID

Kupotea kwa simu pamoja na vyeti + ID

totole

Senior Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
140
Reaction score
25
wana jamiiforums ni story ndefu kidogo ila kwa ufupi ni wizi umetokea maeneo ya Stanley secondary iliyoko Toangoma,Temeke Dar es salaam siku ya alhamisi(jana tarehe 17/10/2013)mida y saa kumi jioni..hivyo basi vitu vilivyo chukuliwa ni kama vifuatavyo
1:VYETI kuanzia std7,form4,form6 pamoja na cha chuo na vengine na vyeti hivyo vina jina moja ambalo ni ELIZABETH MUSHI
2:LAPTOP aina ya accer mini
3:SIMU zipo mbili (1) HUAWEI Y200 YENYE IMEI:86189014131529
(2)NOKIA ya tochi y blue
3:ID tofauti tofauti kama
(1)BIMA Y AFYA
(2)KADI YA BENK
(3)KADI YA KURA
(4)KITAMBULISHO CHA OFISINI
ID ZOTE HIZO ZIMEANDIKWA JINA LA ELIZABETH MUSHI
HIVYO BASI NAPENDA KUTANGAZA DONGE NONO SANA KWA YEYOTE ATAKAE FANIKISHA HAYO
KWA MAWASILIANO NI 0718928267
 
Huu mwaka ni wa akina Mushi kupata mikosi! Pole sana dada yangu wasamalia wayakurudishia japo hivyo vyeti na hivyo vitambulisho.
 
Pole sana dada Mushi, hilo donge nono utakalotoa ni kiasi gani?
 
sante sana yani hapo vyeti tu kama vingekuwa copy isingekuwa tabu..ila naimani ntavipata tu
 
Back
Top Bottom