Kupotea kwa pesa /Chuma Ulete

Kupotea kwa pesa /Chuma Ulete

loupa

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
124
Reaction score
78
Habari zenu ndugu zangu

Mimi ni wakala wa e- money (airtelmoney, m-pesa)
Hii kazi tangu niianze Leo ni siku ya tano tu

*Sasa Jana numekutana na kitu kimenikosesha usingizi kabisa.

*Katika kubalance hesabu cash+flot nimegundua kiasi cha sh.80,000/kimepotea. Baada ya kuwashirikisha baadhi ya watu wakasema ni CHUMAULETE

Sasa Naomba mwenye uelewa na hili
Je hii CHUMAULETE IKOJE?
Inafanyaje kazi?

Nifanye nini kujilinda na tatizo hili?

Natanguliza shukrani kwa maoni yenu
Ahsanteni
 
Acha ujinga,tafuta pesa!!! China ulete ipo kwa Maskini tu
 
Back
Top Bottom