Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,755
- 47,112
Wakuu habari za usiku,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kuhusu kupotea Nyambizi ya Argentina bila kuonekana karibu siku kumi sasa pamoja na kusakwa na nchi nyingi kwa kutumia vifaa vya kisasa kabisa. Je ni tukio jingine kama lile la kutoweka kwa ndege ya Malaysia?