Kupotea 'kutekwa' kwa Nondo: Picha iliyotengenezwa kishamba

Mzee kwa uzi huu usipotekwa, kesho ujisalimishe central.
Thanks kwa ujumbe mubashara wa usiku
Atatekwa na hao wanaotumia nafasi Kama hizi kuaminisha watu kuwa wametekwa na wakubwa. Only fools mmeshikwa kwenye hizi dirty game zao.
 
Haya yalipaswa jufanywa enz za Nyerere regime sio enzi hiz nchi inao wakina Mshana Jr wengi. Aibu yao kudadeeeek
 
Kama stori za abunuwasi, katika thread zako, hii kweli umekula....mkuu
Hakuna kutekwa wala nini, kijana msukule wa chama cha demokrasia na wahusika wake...walichopanga kitamewatokeoa puani..amini usimiani, napenda upinzani wa siasa ila tusiende huku..hapana hapana na narudia tena hapana, this is comedy..ambayo yaweza sababsha madhara makubwa sana kwetu raia wa kawaida..
Why umetaja chama kimeusika thibitisha kama sio huo mtiririko wa mr Jr embu ukanushe kwa hoja
 
Kama stori za abunuwasi, katika thread zako, hii kweli umekula....mkuu
Hakuna kutekwa wala nini, kijana msukule wa chama cha demokrasia na wahusika wake...walichopanga kitamewatokeoa puani..amini usimiani, napenda upinzani wa siasa ila tusiende huku..hapana hapana na narudia tena hapana, this is comedy..ambayo yaweza sababsha madhara makubwa sana kwetu raia wa kawaida..
....Hata Lissu na the late Akwilina shootings ni comedy siyo?
 
IMG_20180307_17862.jpg
 
Lengo lao kuu ni kuaminisha umma kuwa watu wanajiteka, ili kesho wamteke Mbowe au Lema na kisha waseme "Ni kawaida yao hao jamaa kujiteka ".
This is a satanic regime ,ipo siku maana Mungu si mwanadamu, na hawahi wala hachelewi.
Chukua soda mkuu maana jamaa wamewashika pabaya sana
 
Mara ya ngapi zaidi ya hizo clues hapo!? Au ni mpaka wanione live!? Kama ni kwa muktadha wa kulisaidia jeshi letu... Wanitumie tu ticket next flight nitakuwa niko angani kuja huko bongo
Mkuu jana jioni nimekuona unapita hapa kibanda cha Mkaa unaelekea Msata afu leo unasema uko njee :D :D :D
Kumbe na ww unaogopa police
 
u
Hivi huyo Nondo ana wasifu gani mpaka atekwe?.. yaani ni nani..? Waache kutekwa watu wote atekwe yeye (najiuliza).

Sitaki kumhukumu ila experience yangu ya Vijana wa Daruso pale tabia za kutafuta kiki na passion za kijinga nazifahamu vema mno.

Kuzingatia nafasi yake, labda awe ametekwa tuu na wahuni huko wa mtaani kwao ila sio serikali maana kama ingekuwa yenyewe ingereact tofauti kabisa..

Kama alipanga ili apate kiki ni vema akashikishwa adabu kwa mujibu wa sheria
ulikuwa mwana daruso mwaka gani wewe? wana daruso hawapo hivyo. labda ulienda chuo kwa gpa wewe baada ya magoli kuongezwa upana na ndalichako
 
Back
Top Bottom