Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Halafu watu wataanza kusema St Francis wanaiba mitihani,kumbe wapo very strictly kwenye sheria.Shule nyingi wanafeli kwa vile hamna sheria ngumu
Hata ukiwa na PhD, siku ukivunja simu ya mwanangu nakuja kukupa discipline huko huko ndio ujue gharama za kuharibu mali za watu nyambaf. Serikali inawacheleweshea mishahara na matatizo kibao mbona hamuendi kuvunja ofisi?
Fikra za kimasikini hizo. Poverty mentality
View attachment 269739
Hawa walimu na wachangiaji wengi wa thread hii wana akili za kizamani sana. Mi sikubaliani na hoja kwamba wanafunzi hawawezi kufanya vizuri kwasababu ya simu. Yeye mwalimu mwenyewe kasoma enzi hizo hakuna TV wala simu mbona kafeli masomo?
NB: Kwa Tanzania, waliofeli kuendelea na masomo ya juu ndio wanaoenda vyuo cha ualimu.
ngese wewe $&#*;::#$+;yj mamaako walifeli walimu waliomfunditsha mamaako ndo maana kakuzaa we boya