nadhani hujanielewa vizuri nilichoandika...na ndio maana nikabase kwa a-level scholars.
Hawa walimu na wachangiaji wengi wa thread hii wana akili za kizamani sana. Mi sikubaliani na hoja kwamba wanafunzi hawawezi kufanya vizuri kwasababu ya simu. Yeye mwalimu mwenyewe kasoma enzi hizo hakuna TV wala simu mbona kafeli masomo?
NB: Kwa Tanzania, waliofeli kuendelea na masomo ya juu ndio wanaoenda vyuo cha ualimu.

Mie nadhan ni mawazo mgando kwa karne hii waruhusiwe tu muda Fulani
Cause nimeona baadhi ya Wazazi wanawazuia watoto hata kuangalia tamthilia nyumbani Matokeo yake sisi tunao waruhusu wanetu wana perform better kuliko hata wao
Huna akili wewe, walimu wengi wana matokeo ya kijani acha kukalili, kama ww ni mhandisi usifikiri wote wanapenda kuwa wahandisi
Kweli akili zako viatu....kwa taarifa yako si kila mwalimu kafeli mitihani yake kuna walimu wana PhD ...sijui nao unawaweka kundi lipi
Think before you act
Labda unaongelea enzi za TANU, kwa sasa watu wengi wanaoogopa maisha na kusaga rhumba la mtaa ndio wanakuwa walimu kwasababu ndio ajira iliyokuwepo.
Hata ukiwa na PhD, siku ukivunja simu ya mwanangu nakuja kukupa discipline huko huko ndio ujue gharama za kuharibu mali za watu nyambaf. Serikali inawacheleweshea mishahara na matatizo kibao mbona hamuendi kuvunja ofisi?
Mie nadhan ni mawazo mgando kwa karne hii waruhusiwe tu muda Fulani
Cause nimeona baadhi ya Wazazi wanawazuia watoto hata kuangalia tamthilia nyumbani Matokeo yake sisi tunao waruhusu wanetu wana perform better kuliko hata wao
Acha kudanganya watu hakuna mzazi wa aina yako nachelea kusema wewe huna mtoto kama unaye basi ni wakusingiziwa......