wagagagigikoko
Senior Member
- Dec 5, 2010
- 163
- 49
Niliwahigi kunyanganywa simu yangu enzi nasoma Advance... Ila walimu wetu sijui walikua wanapeleka wapi zile simu zetu
Kumbe na wewe ulikuwa hufati sheria za shule eeh
Niliwahigi kunyanganywa simu yangu enzi nasoma Advance... Ila walimu wetu sijui walikua wanapeleka wapi zile simu zetu
Heaven on Earth,Simu yako niliuziwa mie,hembu nitafute kama bado unaipenda sim yako,maana naziona Congo elfy 45 kwa bei ya sasa
Niliwahigi kunyanganywa simu yangu enzi nasoma Advance... Ila walimu wetu sijui walikua wanapeleka wapi zile simu zetu
Mie nadhan ni mawazo mgando kwa karne hii waruhusiwe tu muda Fulani
Cause nimeona baadhi ya Wazazi wanawazuia watoto hata kuangalia tamthilia nyumbani Matokeo yake sisi tunao waruhusu wanetu wana perform better kuliko hata wao
kuponda simu ni ujinga pia... wengine wanaenda na simu kwa sababu maalumu...mtoto katoka Masasi mtwara anapangiwa shule Biharamulo kagera na hana ndugu huko kwa nini asibebe simu ya kuwasiliana na wazazi wake???
hasa kwa wanafunzi wa a-level simu ni msaada sana,wangapi hawakuwa na simu na bado waka-score zero..!!! na wenye simu wakafaulu..!!!.
serikali isiruhusu simu ila na walimu wasiponde simu za watu( iwe kama ruhusa ila wasitangaze)....
mwanafunzi anyanganye simu pale tu abapotumia kwakujionesha, au mda wa vipindi darasani, au aliwa smart area/eneo la utawala na sio akiwa hostel/dormitory...
Wewe inaonekana hujui hata psychology ya watoto,wakiruhusiwa si ndio itakua balaa,unataka wawe wanashinda online muda wote,badala ya kusoma kazi yao iwe ni kupost mapichapicha... halafu consider na umri wao tafadhari.