Kupona UTI kwa kitunguu saumu

Kupona UTI kwa kitunguu saumu

Mkuu MziziMkavu samahani kwa maswali mengi, niliwahi kutumia dose hiyo kwa kusaga kitunguu swaumu kizima na kumeza kwa maji. Wacha nikisumbue mpk nikahisi kufa kufa.....

Je nikitumia punje sita mara moja kwa siku kuna ubaya??

Mmh kapime kubwa lao best wangu!!!
 
Last edited by a moderator:
Doctor mimi nilikuwa na matatizo ya kuwashwa mwili mzima tunajitokeza tu upele tudogo then tunaniwasha sana nikijikuna panavimba lakini sasa hvi ktikati ya vidole vya mikono zimeanza kujitokeza dalili kama za fangasi panakuwa peupe alafu na sehemu za sili nawashwa sana wakati wa joto.Je na hizo ni fangasi?

800px-Italian_garlic_PDO.JPG

Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika

changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na

uvimeze.

Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara

chache sana hutokea kutapika)

Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote

wamekauka!Kwisha kabisa!!!!

Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada

ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!
Mukipona musikose kuleta Feedback.
[/QUOTE]
 
Samahani doctor hiv hii kauli ina ukweli wowote.. kuwa kitunguu swaumu ukikiweka sehemu za siri yaani punje yake iliyomenywa usiku wakati wa kulala,wakati wa asubuh ukaitoa kwa Siku tano inatibu UTI na kufanya maumbile ya kike kuwa ya kubana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh. Wanawake ogopeni kuweka weka vitu huko chini eti kubane...ghkaa
 
Samahani doctor hiv hii kauli ina ukweli wowote.. kuwa kitunguu swaumu ukikiweka sehemu za siri yaani punje yake iliyomenywa usiku wakati wa kulala,wakati wa asubuh ukaitoa kwa Siku tano inatibu UTI na kufanya maumbile ya kike kuwa ya kubana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi najua inatibu fungus,ndo dawa yangu nimesahau Mara ya mwisho lini kwenda hospital!
Pia uke unakuwa vzr!
Mi sitwangi naweka punje tu km ilivyo,naimenya tu

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Habari Dr.
nataka kuanza hii dawa,lkn nashindwa kunywa kitunguu kilichosagwa,je siwezi kutumia kwa kukatakata vipande alf nimeze km dawa? naomba ufafanuzi kwa hili
ahsante
 
DAWA YA KUONDOSHA MINYOO NA FANGASI WA AINA YOYOTE ILE TUMIA KITUNGUU SAUMU.

800px-Italian_garlic_PDO.JPG

Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika

changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na

uvimeze.

Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara

chache sana hutokea kutapika)

Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote

wamekauka!Kwisha kabisa!!!!

Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada

ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!
Mukipona musikose kuleta Feedback.
Kama umetapika utatakiwa kunywa tena?au ndio bas Hadi siku nyingine

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom