Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,505
- 51,111
Hata kama ni wa kumuombea dua ni mchango pia...japo mtoa mada kaelezea wao kutumia ushawishi walio nao katika maeneo waliyopoLabda tukumbushane Wema alitoa mchango gani?
Rais ajaye!!!! Kua serious mtoa mada, RAIS AJAYE!!Sote ni binadamu, tuna mapungufu yetu lakini tuna mazuri yetu mengi
Huwezi kulitaja suala la kushambuliwa Lissu na mobilization ya Umma katika kujaribu kunusuru maisha ya Lissu bila kuwataja madada wawili, Mange Kimambi na Wema Sepetu.
Mange alitumia ushawishi wake mkubwa kuhimiza michango kwa ajili ya Lissu, binafisi nilichanga hela ndefu tu
Pia huwezi kumsahau mwanadada Wema Sepetu katika kumobilize michango kwa ajili ya Lissu
Kwa hakika nyinyi madada kuna wakati mlichukua responsibility kubwa sana kwa ajili ya kulitetea Taifa hili. Kwa hakika mchango wenu katika point ile ya wakati haitosahaulika!. Mlikuwa wanawake wa shoka kwelikweli!
Mlisimama pale wanaume wengi waliposhindwa
Mliweka pembeni muda wenu halali wa kujali mambo ya ulimbwende, mkasimama kulitaka Taifa liwe bora, la haki, uhuru. Na kwa hakika mlitimiza wajibu wenu
Pamoja na hali iliyowakumba sasa ya dissapointment, kujiweka mbali na struggle lakini kwa kuwa nyinyi ni mabinti wa Kiislamu na Mtume wenu alifundisha kuwa ukiona udhalimu uondoe kwa mkono wako, Kama huwezi Ukemee kwa kauli zako, na kama ukishindwa basi Chukia udhalimu huo japokuwa kuchukia bila action ni udhaifu wa kiimani! basi nawaomba huko mliko katika ukimya wenu muendeleze struggle kadri mtakavyoweza!. Udhalimu huwa hauishi kwa jaribio moja, struggle ya muda mfupi , kiufupi mtu anayeamini katika struggle inabidi mtu aendelee kustruggle hata kama amebaki yeye peke yake na wengine wote hawamuelewi.
Mwisho kabisa niseme tu
Nyie madada wawili, Asanteni sana kwa kazi ile mliyoifanya ya kusaidia kuokoa maisha ya Raisi ajaye ndugu Tundu Antipas Lissu
Pia namshauri ndugu Lissu kuendelea kuwashukuru madada hawa wawili regardless mitizamo yao ya kisiasa ya sasa au lifestyle waliyochagua!. Hawa ni maaskari wa miavuli waliokupigania kwa medani iliyotukuka!
Jamaa wameshaamini wazungu watawasaidia waingie Ikulu, ha ha ha.Rais ajaye!!!! Kua serious mtoa mada, RAIS AJAYE!!
Hta belize tu hawampi uprime minister mtu kiutani hivi.
Urais ni mada beyond your imagination,kwingine nahis ipo sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah ah ah kama wanaamini hvyo bhas hawapo serious na uchaguzi ujaoJamaa wameshaamini wazungu watawasaidia waingie Ikulu, ha ha ha.
Mange huyu huyu aliyefuta post zake zote za kumponda jiwe ?
Wanajijua kabisa huo uwezo hawana, kwa hiyo inabidi wakimbilie kwa wazungu.Ah ah ah kama wanaamini hvyo bhas hawapo serious na uchaguzi ujao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mchonga alivyosaidiwa kupewa Uhuru wa blue print...Jamaa wameshaamini wazungu watawasaidia waingie Ikulu, ha ha ha.
Ulimsaidia mchonga meno?Kama mchonga alivyosaidiwa kupewa Uhuru wa blue print...
Jamaa wameshaamini wazungu watawasaidia waingie Ikulu, ha ha ha.
Kwanza sio cirito barracks bali Colito Barracks (ilipo Lugalo kwa sasa). Tatizo unafikiri unaongea na mtoto mwenzako. Kama ndio hiyo si uende kuomba kazi ya ushambaboy kwa hao wazungu basi?Ndiyo ukweli huo, kwani wewe hujui mchonga alimuomba mzungu aulinde utawala wake mwaka 1964?
Kwanza sio cirito barracks bali Colito Barracks (ilipo Lugalo kwa sasa). Tatizo unafikiri unaongea na mtoto mwenzako. Kama ndio hiyo si uende kuomba kazi ya ushambaboy kwa wazungu basi?
Sio tu kwamba naijua. Nimeshudia hayo majaribio, kwani nilikua darasa la tano shule ya Wailesi (Wireless Temeke) wakati huo. Kama unawahusudu sana wazungu nenda kawaombe kazi ya ushambaboy wakuajiri ufurahishe roho yako. Inaonekana unapenda sana kujikomba kwao.Good! kumbe unajua hiyo issue!...
Sio tu kwamba naijua. Nimeshudia hayo majaribio, kwani nilikua darasa la tano shule ya Wailesi (Wireless Temeke) wakati huo. Kama unawahusudu sana wazungu nenda kawaombe kazi ya ushambaboy wakuajiri ufurahishe roho yako. Inaonekana unapenda sana kujikomba kwao.
Sasa ulitaka asiende kuomba msaada, au?Unadhani kwa nini mchonga alienda kuomba msaada wa Mzungu ili asiondolewe madarakani?