Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,928
Kazi nzuri wewe tafuta shamba la umwangiliaji.
4. Welding and metal fabricationMara nyingi kazi zao ni...
1. Ujenzi. Japo hawata fanya role ya civil!
2. Lift fittings. Lift za kwenye magorofa.
3. Machine design. HII NDIO MAIN ROLE YAO!!
4. Metal and metal fubrication. Kwa kifupi ukimpa nondo akiishika tu anajua hii ni nzima au kimeo.
5. Magari na vifaa au mitambo ya moto. Kwa nchi zilizoendelea wanatumika sana kwenye ku design magari na vifaa vya moto!
6. Solar power
7. KUFITISHA Air condition AC.
Na nyingine nyingi....
Ila kusoma mechanical inabidi uwe njema kwenye phy na pure maths, uwe na kichwa makin hasa kwenye ku design na kuandaa drawings. Hii ni pure engineering field.
Mech engineering ni moja ya kozi mama za uhandisi ikiwemo civil na electrial!!
Acha kupotosha umma wewe!!! Umekurupuka sana mkuu, tatizo uswahili umekutawala. Jaribu kutofautisha kati ya "mhandisi wa mitambo" na "fundi makenika". Hao unaowaona huko barabarani ni mafundi makenika ambao hawajaonja hata 0.5% ya mechanical engineering na kama wamesoma mechanical engineering basi they are undermining their potential. Fanya homework kabla haujajibu topic.....but if it was just for joking around then bravo! U made me laugh FYI 😀😀Wewe utadeal na kufitisha matank ya maji taka pamoja na ku trouble shoot engine za vibajaji, na minyororo ya baiskeli.
Hata flywheel ya baiskeli shughuli itakuhusu.
Nguo zako zitakuwa na grease nyeusi nyeusi na ndio utambulisho wako.
Nilijua tu haya majibu yatakuja tu teh teh tehkama MAKINIKIA
habari wanajamvi! nimekuwa sina ueleewa mpana juu ya uwanja wa kujiajiri kupitia fani ya mechanic engineering zaidi najua mtu wa mechanic anaweza kujiajiri kwa kuwa fundi magari tu....je kuna kazi zingine ambazo mtu huyu anaweza kujiajiri?na kama zipo ni zipi kwa hapa Tanzania na soko lake likoje?
Nimetaja mechanical aspects za mechanical engineering kwa staili ambayo kucheka hakuepukiki!Acha kupotosha umma wewe!!! Umekurupuka sana mkuu, tatizo uswahili umekutawala. Jaribu kutofautisha kati ya "mhandisi wa mitambo" na "fundi makenika". Hao unaowaona huko barabarani ni mafundi makenika ambao hawajaonja hata 0.5% ya mechanical engineering na kama wamesoma mechanical engineering basi they are undermining their potential. Fanya homework kabla haujajibu topic.....but if it was just for joking around then bravo! U made me laugh FYI 😀😀
Hahahaha.....basi nmekuelewa mkuu. Kila kazi uliyokuwa unataja mm nlikuwa hoi kwa kicheko hadi nkamuonea huruma mleta uzi. Ungemfanya aiogope fani. HahahahahaNimetaja mechanical aspects za mechanical engineering kwa staili ambayo kucheka hakuepukiki!
Ni fani ninayoipenda na kuiheshimu sana.Hahahaha.....basi nmekuelewa mkuu. Kila kazi uliyokuwa unataja mm nlikuwa hoi kwa kicheko hadi nkamuonea huruma mleta uzi. Ungemfanya aiogope fani. Hahahahaha