x - mas
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 953
- 669
habari wanajamvi! nimekuwa sina ueleewa mpana juu ya uwanja wa kujiajiri kupitia fani ya mechanic engineering zaidi najua mtu wa mechanic anaweza kujiajiri kwa kuwa fundi magari tu....je kuna kazi zingine ambazo mtu huyu anaweza kujiajiri?na kama zipo ni zipi kwa hapa Tanzania na soko lake likoje?