Kupita bila kupingwa - is this democracy too?

Mchezo wa kununua wagombea wa upinzani ulikuwepo sana siku za nyuma mfano mwaka 2005 aliyekuwa mgombea waCUF jimbo la serengeti MOSSENA NYAMBABE alisema kuwa aliambiwa na mgombea wa CCM kuwa akubali kuchukua milion 50 then amwachie jimbo lakini mgombea yule alikataa na hatimaye inakadiriwa wanyancha alitumia zaidi ya million 300 katika uchaguzi ule kuhonga na kucheza rafu nyingine kushinda, katika jimbo la MUSOMA mjini MATHAYO MANYINYI alitumia kiasi cha 700 million kushinda mpaka leo kesi yake ya wizi wa kura haijaisha, mchezo wa kununua wagombea upo sana ukitaka nenda kagombee kwa MKONO utaitwa ili upozwe.
Kumbe ni biashara ya miaka mingi iliyopita!!!!
 
Ndiyo ! Demokrasi ya wapumbavu

Amepita bila kupingwa na nani ?
Mbona alipingwa kwenye chama chake ?
Kwanini asiwekwe apate kura zaidi 50 % ya zikizopigwa ili astahili kutangazwa ni mshindi ?
Wakurugenzi wana maamuzi kuzidi wapiga kura wa majimbo
Hivyo wanaopita pasipo kupingwa ni wachaguliwa na Wakurugenzi
 
Back
Top Bottom