technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,647
- 58,453
Hakuna kitu kinaitwa kupita bila kupingwa ni uhuni tu unafanyika haiwezekani kwenye Jimbo wagombea 5 wote wakose sifa halafu mmoja tu ndio awe na sifa.
Mtu akiwa hana sifa automatically hatakuwi kupewa form ya kugombea unampaje form mtu asiye na sifa?.
Mtu akiwa hana sifa automatically hatakuwi kupewa form ya kugombea unampaje form mtu asiye na sifa?.