EthanMallaky
Member
- Oct 28, 2017
- 57
- 30
e la pointsAlietumba tayar alishasema mwanamke ni msaidizi tu ishi nae kwa akili mana yake ni kiumbe dhaifu ...anabadilika kutokana na mazingira ndo mana wanawake wengine wanaonekana strong Kwa sababu ya mazingira waliyonayo...lkn kiumbaji ni dhaifu
Acha nikuache...Unaonesha udhaifu ambao tulikuwa tunauzungumza Hapa....umeulizwa swali na wewe unauliza the same question....sasa ukiambiwa wewe ni ZwaZwa ukiinama Akili zinamwagika utakataa? Au una cha Kubisha??
Asantee sana MkuuHapa tuanzie tu kwenye mazingira yetu ya kitanzania
Ukitaka kumchambua mwanamke au mwanaume aanza na mazingira yako hapo ulipo
Kwa mfano tuseme tu ule ukweli bila kigugumizi cha kuuma maneno Most women are foolish arrogant and extravagant hawajitambui hata kidogo hapa bongo
Tuna type ya wanawake ambao kutwa kubinua makalio Instagram na kujiita sijui official Sophia mara official tunda ukiimuuliza mbali na kubinua makalio insta kuna shughuli gani nyingne ya ziada inayomwingizia kipato utaambulia kichambo
Mwanamke akipata kanafasi hata ka utangazaji ka radio station ka huko koromije utamsikia anaanza kujiita super women mna hatari nyinyi
Most of them wanapenda wanaume wenye Tv mwanaume mwenye malengo kwao ananuka shombo huwa si watu wa kupanda mlima Kwa shida wanapenda kupandishwa baba ridhiwani alikuwa fundi sana wa kuwapandisha mlima mfano akina Vick kamata mna hatari nyinyi
Kuitambua akili ya mwanamke hapa bongo hakuhitaji masters nenda shule za kata huko ndiko waliko wanawake wa nchi hii ambao wengi wao ni familia za vibanda vya mbavu za mbwa
Mimi huwa sihangaiki kupima reasoning ya mwanamke maana najua ni kupoteza muda tu
Siku wakijitambua utanitag nirudi tupime reasoning
YEAH KWA KIPINDI FULANI HIVI..NOW NIPOUmekuwa adimu mkuu.
KaribuuuYEAH KWA KIPINDI FULANI HIVI..NOW NIPO
ASANTE....MISS WEWEKaribuuu
Poa. Nilimiss harakati zako katika seat yako.ASANTE....MISS WEWE
Poa. Nilimiss harakati zako katika seat yako.
Oooh! SawaSIKU HIZI NIMEACHA
Kwani nyie huwa mnadhani mwanamke ni nini? Kuna wanwake vilaza kama walivyo wanaume wengine na kuna wanawake wapo vizuri kama walivyo wanaume wengine.
Wewe kwa mfano nakuhakikishia kuna wanawake humu wanakuzidi uwezo kuanzia mwandiko hadi kujieleza bisha nikuitie hapa.
Yaaani ni kama vile mnawadharau sana mama zenu!Kuna Member Mmoja alishawahi kuleta post kam hii jukwaani la namna ya kupima uwezo wa kufikiri wa Mwanamke sema kwa bahati mbaya hio post nimeshindwa kuiona.
Kw mf unataka kupima uwezo wa kufikiri au kuchambua vitu bila kujali elimu na mwanamke either awe mke/mpenzi.
Je maswali gani tactical ya kumuuliza?
Your contributions will be appreciated
Mwambie huyo hajui kama% kubwa wanawake ndiyo wanajenga mji yy anapayuka kamaKwani nyie huwa mnadhani mwanamke ni nini? Kuna wanwake vilaza kama walivyo wanaume wengine na kuna wanawake wapo vizuri kama walivyo wanaume wengine.
Wewe kwa mfano nakuhakikishia kuna wanawake humu wanakuzidi uwezo kuanzia mwandiko hadi kujieleza bisha nikuitie hapa.
Tena mlevi mpaka anajikojolea, nilikuta mbaba anamwambia mkewe mbona unainjika maji ya ugali kidogo, cha ajabu yy kazi yake kufunga mkanda kifuani hata 10 ya nyerere hakuna mke apike gongo ndiyo atunze familia na huyo aitwe kichwa cha familia au mkia wa familia??Mimi naangalia uhalisia wa ninachokiona kwa macho yangu kwasasa hayo mambi ya kuumbwa na udhaifu nyie yachukueni.
Kuna wanawake vichwa vya familia, mwanaume mlevi familia hahudumi, watoto matumizi hatoi mke ndiye anahangaika tu. Huyu mwqnamme utamuita kichwa cha familia kisa tu imeqndikwa kwenye vitabu??
Zama za kusema mwanamke ni dhaifu labda uwe unajilinganisha naye na uwe umemzidi na sio fallacy generalization.
Wewe inaonekana udhaifu unaousema kwao ni kwny masuala ya mapenzi na inawezekana ushatendwa sn na hao viumbe.yaan nasema hivi we wasifie utakuja kunambia,mwanamke hata awe na dunia nzima hiii uwezo wake ni weak sana ukilinganisha na mwanaume asiye na kitu
Mwanamke ni mwanamke tu hata awe ana mabawa...kuna ka demu hapa nilipopanga ni kazuri ila kana akili ndogo sijapata kuona...ilikuwa jpl...kakaniomba elf 5, nikaona kukapa bure ni makosa nikakapa nguo chache kanifulie...nikaenda zangu ..nimekuja kurudi j4 bado hakajafua...kalivoniona kakaanza kuzifua..kakaanika, jioni mvua inanyesha hakakuzianua..zikalowa ikawa j5...kakaziacha pia zikalowa hadi jana...yani mpaka muda huu zipo kwenye kamba kweli wanawake ni wanawake tu...haka kabinti kana matako makubwa lakini akili ndogo kama punje ya ulezi....