Kupima Reasoning ya Mwanamke

Kuna wanawake wana tabia za kiume alafu kuna wanaume wana tabia za kike hayo ni matizo tu yakiufundi
Yani ukiwachukua wanawake elfu huenda kuna mmoja anawazidi wanaume wengi kwa mambo mengi tu
sasa wewe uko hapa kutetea huyu mmoja katka hawa elfu ambapo kikawaida ni kama hayupo
 
Hahaah bora ungekachapa mkwaju kuliko kukapa majukumu ya kufua
 
Alikuwepo Samson kiboko yake ilikua ni Delilah....endelea kuona mwanamke ni dhaifu
 
natamani JAMII MEDIA ikutunuku TUZO JAMANI ! kumbe wanaume mmebaki eh?
 
kwa hiyo Mungu aliyesema mke ni dhaifu alikosea,chunga kauli zako
 
yaani nimempenda ghafla !nadhani ni vyema na sie wazaz tunapaswa kuwaencourage watoto weut hasa wakike kama huyu Thelonious !mtoto ukimpa maneno positive lazima awe vizuri ! sio umsemee mabaya tu lazima atakuwa na phobia !
Sincerely my father is typical Thelonious... Grew up najua men and women tuko tofauti lakini haimaanishi mwanamke ni kilaza infact mwanamke unaweza kufanya mengi mnoo
Tofauti zetu ni za kijinsia....
 
yaani nimempenda ghafla !nadhani ni vyema na sie wazaz tunapaswa kuwaencourage watoto weut hasa wakike kama huyu Thelonious !mtoto ukimpa maneno positive lazima awe vizuri ! sio umsemee mabaya tu lazima atakuwa na phobia !

Halafu jiheshimu wewe nani wa kike?
 
kwa hiyo Mungu aliyesema mke ni dhaifu alikosea,chunga kauli zako
Tofautisha nafasi ya mke na mwanamke.... Akiwa mkeo sawa wewe ni kichwa kwake...
akiwa sio mkeo huo udhaifu haupooo...ndo mana wake za watu ni mabosi wenu ofisini,ndo mana wanawake wana pesa na magari na elimu na wanaume wapo bado wanatembea kwa miguu nk... Tena mabosi wanawake wanawaendeshaaa balaa hahahha af mtakuja kubisha hapa SMH...
 
Ni kama vile eti kisa wewe ni mwanaume useme Bi.Samia Suluhu ni dhaifu....unamzidi kwa lipiii we mwanaume??.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…