Mmhhh🤔🤔🤔. Hapa nimepata wazo. Ikibidi unaenda unatafta hata ndugu yako unaenda nae as if mnagombea mtoto then mnapimwa. Ikionekana sio wenu wote it means sio wa kwakono nooooooo i say no
io ipo hv km wanaume mpo zaid ya wawil mnagombea mtoto dna hupimwa vzr tu
shida ni km mwanamke kaficha midume mengime na ww ukapewa zigo hata uwr na hofu kiasi gan upime dna utaambiwa mtoto ni wako kabisa ata awe na black ww mweupe mama mweupe utaambia ni swala la genetics yaan ata uhoji miez 9 haijatimia utaaambia mimba ilitungwa nje
km ana mashaka na pesa za kuchezea anazo afungue kesi ataje ni upi anamuhisi mahakama ikijilizisha dna wqatapima wote na majibu yatakuwa fair
Unajua maana ya maslahi ya mtoto?So ili kupata majibu ya kweli ni pale mnapogombea mtoto, kibyume na hapo ni wa kwako tu hata kama dalili zote zinaonyesha ni wa kichina?
Hahahaaaaa
Shida yote ya nini Nenda hospitali private ,kapime kisiri siri au kupitia short cut kama inawezekana kama inawezekana jiandae mfuko kutobokaMmhhh. Hapa nimepata wazo. Ikibidi unaenda unatafta hata ndugu yako unaenda nae as if mnagombea mtoto then mnapimwa. Ikionekana sio wenu wote it means sio wa kwako
Bora gharama kubwa kuliko kulea mtoto unaemdoubt. Kwa sababu hutaeza kumpa upendo anaostahili of which hii itaendelea kumuumiza kisaikolojia hata atakapokua mkubwa. Mimi nasupport kutoa hyo hela na kujua ukweli aiseeYes mkuu,tofauti kubwa mno ila gharama ji kubwa, but end of the day inategemea unataka ku achieve nini kutokana na matokeo ya DNA test,kama ni kujua tu status ya mtoto pls mwambie rafiki yako atumie common sense yake maana kuna cost kubwa
"Utaambiwa mtoto ni wako hata kama sio wako"Tanzania ukipima dna tena wanapima kwa kibali kutoka mahakamani sijajua kwa wanaofanya siri au short cut inawezekana kwa hospitali za private
Ila jua tu ukipima dna Tanzania mtoto hata kama sio wako utaambiwa ni wako ili kulinda maslahi ya mtoto
Labda vuka boda nenda kenya
Hospital private haziangalii maslahi ya mtoto mkuu??🤔Shida yote ya nini Nenda hospitali private ,kapime kisiri siri au kupitia short cut kama inawezekana kama inawezekana jiandae mfuko kutoboka
Well said...Yes mkuu,tofauti kubwa mno ila gharama ji kubwa, but end of the day inategemea unataka ku achieve nini kutokana na matokeo ya DNA test,kama ni kujua tu status ya mtoto pls mwambie rafiki yako atumie common sense yake maana kuna cost kubwa
Sijajua huko kiongoziHospital private haziangalii maslahi ya mtoto mkuu??
Ndio maana namwambia aende private maana huko sijui kama limitations zipo au hazipo"Utaambiwa mtoto ni wako hata kama sio wako"
Thats a lie. Ukienda hospital za govment maybe.. but private with enough money wanakupa black and white truth.
Now what will you do with that truth. Thats will be up to you
Unavyosema pungufu unamanisha nini? Kwa sababu mama anaweza kujifungua week la 36,37,38,39,40,41,hadi 42 na wote watoto wanakua sio premature sasa utuambie mama alijifungua week la ngapi?Hajaniambia kama aliwahi kufanya ultrasound, lakini anasema alihisi mke ni mjamzito na muda wa kujifungua umekuwa pungufu ya miezi 9, swali ni je, ofisi ya mkemia wanatoa majibu kwa kuzingatia "ustawi wa mtoto/watoto" tu?
Na je hii inamaanisha mtoto utapewa tu hata kama sio wako ili astawi? Au ina maana gani???
Kumbe unaweza kupima hospital pia, sio lazima ofisi ya mkemia wa serikali?"Utaambiwa mtoto ni wako hata kama sio wako"
Thats a lie. Ukienda hospital za govment maybe.. but private with enough money wanakupa black and white truth.
Now what will you do with that truth. Thats will be up to you
Ukweli sijui ilikuwa pungufu kwa muda gani, lakini kwa hisia zake baada ya kukaa mbali na kwake kwa muda mrefu alihisi mkewe ana ujauzito tayari, na sijui nini kilimfanya ahisi hivyo...Unavyosema pungufu unamanisha nini? Kwa sababu mama anaweza kujifungua week la 36,37,38,39,40,41,hadi 42 na wote watoto wanakua sio premature sasa utuambie mama alijifungua week la ngapi?
Maana isije Kua mama alijifungua week la 36 wewe Useme pungufu kama alijifungua chini la week hilo 36 hapo tutaelewa.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Hospital gani hapa Tanzania private wanaofanya hiyo kitu??Shida yote ya nini Nenda hospitali private ,kapime kisiri siri au kupitia short cut kama inawezekana kama inawezekana jiandae mfuko kutoboka
Swali zuri sanaaaHospital gani hapa Tanzania private wanaofanya hiyo kitu??
Cost kubwa shs ngapi??Yes mkuu,tofauti kubwa mno ila gharama ji kubwa, but end of the day inategemea unataka ku achieve nini kutokana na matokeo ya DNA test,kama ni kujua tu status ya mtoto pls mwambie rafiki yako atumie common sense yake maana kuna cost kubwa
DNA test za kibongo ni uongo mtupu, hapo kiuhalisia huyo mtoto si wake, lakini wanatoa majibu hayo kulinda ndoa na masilahi ya mtoto tu.Kumekuwa na kawaida ya watu wenye mashaka na uhalali wa ubaba wao kwa watoto wao, kwa sababu mbali mbali, lakini wengi wao wanapata majibu ya kuwa wao ni baba halali wa watoto hata kama baba ana sababu za msingi za ku-doubt.
Kwa mfano, kuna rafiki yangu ambaye kwa Maelezo yake, anasema alisafiri muda mrefu sana bila kuwepo nyumbani, almost miezi 8, aliporudi alihisi mkewe ni mjamzito, (wakati wa kula tunda alihisi utofauti) baada ya muda mfupi kweli tumbo likawa kubwa jamaa hakuelewa kabisa, ukawa ugomvi kati yao, mke anadai mimba ni ya mumewe mume anakataa.
Wakawa na ugomvi wa muda mrefu kweli mpaka mke akajifungua na jamaa kwa hasira kaamua kupima DNA, akafuata taratibu zote kama zilivyoainishwa.
Akiwa na matarajio ya majibu kuwa NEGATIVE, lakini kwa mshangao mkubwa akakuta majibu yameandikwa kuwa yeye ni baba halali wa mtoto kwa uwiano wa 99.9%.
Jamaa hayaamini matokeo kwa maelezo kwamba ana uhakika mkewe alikuwa mjamzito kabla ya kusex naye baada ya kutoka safari, na majibu yanakuja yakiwa summarized tu bila chati ya kuonyesha namna gani vinasaba vililingana au kutofautiana.
Baada ya stori na huyo bro, nikapitia pitia kidogo maelekezo ya sheria ya vinasaba lakini pia maelekezo ya ofisi ya mkemia mkuu wa serikali, nikakutana na hii statement (nimeambatanisha hapa chini) wenye kujua hizi mambo hii ina maanisha nini? Kwamba majibu yazingatie "ustawi wa mtoto/watoto" ina maana ganiiii?
View attachment 2190407
Achukue sample (hasa blood)ya mama wa mtoto, mtoto mwenyewe na yeye mwenyewe, tuma SA watafanya hiyo paternity DNA test, majibu yao yanakuja na vipimo vyote walivyofanya (ni zaidi ya 13)na ili mtoto awe ni wako ni lazima vifanane vyote, tofauti ya hata viwili ni negative (mtoto si wako),kama yupo seriously awe tayari kugharimia. Nimejaribu na sasa nimepata ukweli
Akikujibu kwa uhakika, unitagHospital gani hapa Tanzania private wanaofanya hiyo kitu??
Private hospital ipi unayoifahamu wewe nchini Tanzania wanakopima DNA zaidi ya kwa Mkemia Mkuu wa Nchi?Ndio maana namwambia aende private maana huko sijui kama limitations zipo au hazipo