Kupima DNA kwa lengo la kujua uhalali wa mtoto kunatoa majibu sahihi?

Private hospital ipi unayoifahamu wewe nchini Tanzania wanakopima DNA zaidi ya kwa Mkemia Mkuu wa Nchi?
Tatizo watu sijui hawajui kusoma


Nimesema labda aende private kama inawezekana maana sijui huko kama kuna limitations embu rudia kusoma comment zote


Sasa mi nitajuaje Kama Wana Pima au hawapimi ?
 
Kuna jamaa alihisi mtoto sio wake akamchukua rafiki yake wakaenda kujifanya wanagombea mtoto! Kilichowakuta sasa😂😂Majibu yalionesha rafiki wa jamaa ndo baba wa mtoto😂🙌🏽🙌🏽!! Hizi DNA za bongo ni nyoso sana!!
 
Mmhhh🤔🤔🤔. Hapa nimepata wazo. Ikibidi unaenda unatafta hata ndugu yako unaenda nae as if mnagombea mtoto then mnapimwa. Ikionekana sio wenu wote it means sio wa kwako
ilo io pia inaweza saidia lkn wakiona wote hamno zigo atapewa mmoja tafuta watu halisi unahis wamemwaga apo

Najua umebak na maswali ni kwann madaktar wanafanya hv ipo hv ayo sio maagizo yao ni maagizo kutoka serikalini kumlinda mwanamke na mtoto

mm naamin ww shule umeenda fanya hacking scan whatsapp ije kwenye web kutoka kwenye cmu tafuta hata sms badili hata line zq simu ukipata ushahid anzia kwa mwanasheria
 
Achukue sample (hasa blood)ya mama wa mtoto, mtoto mwenyewe na yeye mwenyewe, tuma SA watafanya hiyo paternity DNA test, majibu yao yanakuja na vipimo vyote walivyofanya (ni zaidi ya 13)na ili mtoto awe ni wako ni lazima vifanane vyote, tofauti ya hata viwili ni negative (mtoto si wako),kama yupo seriously awe tayari kugharimia. Nimejaribu na sasa nimepata ukweli
SA una maanisha South Afrika?

gharama yake kiasi gani?
 
Nimesema labda aende private kama inawezekana maana sijui huko kama kuna limitations embu rudia kusoma comment zote


Sasa mi nitajuaje Kama Wana Pima au hawapimi ?
Maneno “kama inawezekana” umeyasema sasa. Umesomeka

Kwa faida ya wengine: nimeambiwa LANCET LABORATORIES huwa wanachukua sampuli na kuzituma South Africa. Cost yake inaweza kuwa mara tano ya ile ya kwa Mkemia Mkuu

Bora kufanya hivyo kuliko kutegemea hawa wanaojari “maslahi ya mtoto kwanza
 
Good thing with private they care about cash. Uki offer attractive package watakupa attractive service.
Kwa hapa Tz hakuna sehemu yoyote wanapima DNA zaudi ya ofisi ya mkemia mkuu wa serikali, I stand to be corrected...
 
Kuna jamaa alihisi mtoto sio wake akamchukua rafiki yake wakaenda kujifanya wanagombea mtoto! Kilichowakuta sasaMajibu yalionesha rafiki wa jamaa ndo baba wa mtoto!! Hizi DNA za bongo ni nyoso sana!!
Hahahahaaaaaa!
 
Angalia kiganja chako chako kushoto cha mkono wako alafu angalia pia kwa mtoto kiganja upande wa kushoto ikiwa hio michoro haifanani jua sio wako na huo ndio ukweli
 
Bora gharama kubwa kuliko kulea mtoto unaemdoubt. Kwa sababu hutaeza kumpa upendo anaostahili of which hii itaendelea kumuumiza kisaikolojia hata atakapokua mkubwa. Mimi nasupport kutoa hyo hela na kujua ukweli aisee
Mkuu ni uamuzi wako kutegemeana na unavyofikiria
 
"Utaambiwa mtoto ni wako hata kama sio wako"
Thats a lie. Ukienda hospital za govment maybe.. but private with enough money wanakupa black and white truth.

Now what will you do with that truth. Thats will be up to you
Hakuna private wala government hospital inayofanya vipimo vya DNA isipokua kwa mkemia mkuu wa serikali pekee.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom