Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
YeahMiezi 3 au 6 ni sawa pia.
YeahMiezi 3 au 6 ni sawa pia.
Nimecheka sana, mweeeeHakuna haja ya kupima aiseee.
Labda kama unatafuta kufa kwa presha.
Jinsi watu wanavyochepuka kwenye mahusiano ukijifanya una moyo wa kizalendo kujipimisha kila siku, utaishia kufaidisha wakusanya takwimu tu waonekane wanafanya kazi ipasavyo, ila wewe unaishia kufa na B.P tu.
Cesy twende tukapime.mhmhmhmhm dunia ya leo hiii ni kumshirikisha mungu tu
teh teh tehNimecheka sana, mweeee
weeee kupima kila siku siwez naweza kwenda chooni tu kila sikuCesy twende tukapime.
Ila majibu yangu utachukua wewe, mimi siyataki aiseee
kupima si tatizo sana, ila tatizo ni pale unaposubiri majibuteh teh teh
Mkuu ushawahi kupima aiseee???
Brod darlin, nahisi nimekusoma between the lines lol. Anyway hiyo ya mmoja kupima sio solution. Kuna ndugu yangu kila alipokuwa akienda kupima yupo negative, kumbe mwenzake anakula tu dozi kimya kimya miaka mingiiTeh, wife akienda kliniki nitapata majibu aisee. Kama yupo negative najipa matumaini kuwa hata mimi nipo negative, lakini kupima hapana.
Naelewa sana sis darling, shida ni kupima..siwezi, najipa matumaini kuwa kama yeye yupo negative basi na mimi sina shida[emoji12] . After all, I don't cheat lakini naogopa.Brod darlin, nahisi nimekusoma between the lines lol. Anyway hiyo ya mmoja kupima sio solution. Kuna ndugu yangu kila alipokuwa akienda kupima yupo negative, kumbe mwenzake anakula tu dozi kimya kimya miaka mingii
Hahaha kuogopa sielewi kunatokeaga wapi jamani, uwe single, uwe muaminifu hofu ipo pale pale kwa kweli. Muda wa majibu sasa, looh unahisi na worms tumboni kabisaNaelewa sana sis darling, shida ni kupima..siwezi, najipa matumaini kuwa kama yeye yupo negative basi na mimi sina shida[emoji12] . After all, I don't cheat lakini naogopa.
Usinikumbushe siku nilipoenda kupima, ilikuwa lazima nipime coz bila hivyo huoi, damn! It was the most difficult day I've ever had in my life.Hahaha kuogopa sielewi kunatokeaga wapi jamani, uwe single, uwe muaminifu hofu ipo pale pale kwa kweli. Muda wa majibu sasa, looh unahisi na worms tumboni kabisa
Hahahahha kabla sijaenda naye, aisee itabidi nikapime tena alone kisirisiri. Baadaye tukienda wote kapresha katakuwa kamenipungua kidogo tehUsinikumbushe siku nilipoenda kupima, ilikuwa lazima nipime coz bila hivyo huoi, damn! It was the most difficult day I've ever had in my life.
Subiri zamu yako inakuja sista, when you and your fiancee mkisubiri majibu, utatamani dunia ijigawe..