Kama ulishawahi kufanya haya mbele ya mpenzi wako basi wewe ni jini

MAGALLAH R

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,032
2,000
NI KWAMBA.
1.Kama ulishawahi kushusha haja kubwa chooni mbele ya mpenzi wako anakuangalia basi wewe ni KUBWA LA MAJINI.

2. Kama ulishawahi kumruhusu mpenzi wako akusafishe tigo baada ya kujisaidia haja kubwa chooni basi na wewe pia ni KUBWA LA MAJINI.

3. Kama ulishawahi kujisafisha tigo mbele ya mpenzi wako baada ya kushusha mzigo( haja kubwa) basi jua kabisa una approach kwenye ujini.

4. Kama ulishawahi kujamba kwa makusudi kabisa mbele ya mpenzi wako basi jua kabisa una elements za ujini.

Katika jamii za kijadi hayo ni mambo magumu sana kuyafanya mbele ya mtu yeyote yule isipokuwa kama umetokwa na akili kidogo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom