Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,007
- 168,597
- Thread starter
-
- #41
Mi simba, unadhani kuna ushindi mwingine ninaojua zaidi ya ule magoli? Ushindi wa mezani nawaachia YangaNilijua kinachofuata ni haya maneno,Lily umeona mdogo wangu??!!
WABHEJASANA, wewe lla mlango wazi shauri yako, kuna nyegere wakali anga hizi
u made my day hommieMkuu Bujibuji mi nakwambia sikamatiki,hata kama mlango huko wazi navaa Ovaroli la Plastiki lenye viperepere viingi halafu vinachoma kweli na kuwasha akijifanya kuweka tu kichwa lazima vimkwaruze na kumchoma,kibaya zaidi vinamuwasha kwenye paji la uso!!!!!
WABHEJASANA utakuwa hupiti hungumalwa ukiwa watoka au waenda mwanza aise
Nitakuw anaweka mawe pale barabarani ukionekana upigwe marufuku
Siku hizi raha napa na Fast Jet hata siahangaiki kama zamani,sema tu ninachokikosa ni zile nyama za Mbuzi za kuoka na kuchoma,lakini nimemkwepa pia yule Trafiki wenu Silas mrefu ka Twiga alikua lazima anivute ka Ten!!!!!!!!
u made my day hommie
tena kuna wengine hawana shabaha, mashuti yao yakigonga mwamba, mwamba unapindaNdo hivyo Mkuu Bujibuji,kuishi mjini ujanja,vinginevyo utajikuta unakua Dondokela kila mmoja anajifunzi kupiga kipara,kibaya zaidi wengine unakuta magoli yao ni lazima wafumue mashuti makali,sasa kama nyavu sio imara mpira unapitiliza kiasi kamba wananzengo wanaweza kudhani sio goli,il wewe kipa lazima ujue hilo ni goli.
mmh! huu hauingii mfukoni mwa suti !!!
Lakini unabebwa ndani ya briefcase ya mlinzi.