Eddy Tarimo
Member
- Nov 27, 2016
- 27
- 38
Kumbe una yako kichwani tayariUvivu upo kwa mke tu kwa michepuko mahodari kweli
TATIZO LINAANZIA KUANZIA KABLA YA NDOA... JE ALIKUWA AKIFANYA HIVYO PAMOJA NA KAZI? KAMA HAKUWA AKIFANYA HIVYO... BASI THE HONEYMOON IS OVER... YULE WA MWANZO ALIKUWA MSANII... HUYU WA SASA NDIO REAL...Habarini za asubuhi wakuu, natumai ni wazima sana. Leo nina swali kwa wanandoa au wenye mahusiano ya mbali, mimi mume wangu siyo kwamba anafanya kazi nje ya mkoa ila amesafiri kikazi kwa muda tu ana kama karibia miezi 2.
Ila mwenzangu huyu hapigi simu ni ujumbe tu, sasa mimi hicho kitendo kinaniudhi sana na akipiga kidogo utasikia dk. zimeisha, sasa najiuliza dk. zimeisha anaongea na kina nani?
Sasa swali langu kwa wanandoa hasa wenye upendo na wake/waume/wapenzi wao, wanaweza kaa hata siku 3 bila kumpigia simu mwenza wake, yaani ni kawaida au kuna shida pahala?
Naomba maoni yenu hasa kwa wanaume waliokuwa makini na wake/wapenzi wao, namaanisha wenye upendo wa Agape.
Nimechoka nayoAcha kuficha Jimbo hiloo😂
Huwa nishort&clearKwahiyo we mkuu haujawahi kukaa ukamiss sauti ya mkeo
Ila kwa michepuko huwa mnajimalizaHuwa nishort&clear
Tunaongea mambo ya muhimu tu
Vise versa is trueTayari anajua unamsaliti moyo wake umekufa ganzi
Jamani [emoji2][emoji2][emoji2]Itakua ndoa changa hii, mkishazoeana kitu mnawasiliana ni token za luku tu
Mapenzi ni utoto kama ulikuw hujui, be romantic bro. Ubabe waachie wajeda unless you are the oneAisee acha utoto, kwani sauti yako haijui. Kwenye ndoa au mahusiano ya muda mrefu huo ujinga nauchukia, inathibitisha bado unafikiri mapenzi tu. Akija mjinga mwingine akikutingisha kihisia kidogo tu basi utaiacha familia yako. Grow up
Mapenzi mwisho uchumba, ndoa ni majukumu. Ndoani unawatoto nawewe unataka kuleta utoto sasa nani amlee nani😂😂😂. Hauli mapenzi, huishi ndani ya mapenzi wala kuyavaa mapenzi so acha utoto ili ulee watoto na ndoa. Romance nineno umelitoa kwawazungu unataka uwaige😂😂😂, uchumi wanchi wala hali ya maisha nchini mwetu hairuhusu hayo mambo sista so ishi Tanzania sio kwenye tamthilia.Mapenzi ni utoto kama ulikuw hujui, be romantic bro. Ubabe waachie wajeda unless you are the one