Kupigania uhuru binafsi CHADEMA ni mkakati kuwapa nguvu fisadi

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,422
7,211
Lissu amesukwa na mabeberu na fisadi ili kwa kisingizio cha kudai demokrasia awasemee fisadi na washirika wa mabeberu ili waweze kuendelea kuinyonya na kuiibia nchi.

Iko hivi..kudai kwamba hakuna haki na uhuru wa maoni ni kutaka kulazimisha maoni yasiyoendana na mpango wa taifa ukiongozwa na CCM usifuatwe.

Haki na uhuru wa maoni kwao ni kuruhusu mfumo unaoruhusu rushwa na ufisadi kushamiri.

Wanataka mfumo ambapo wenye mamlaka, watu tajiri na wanasheria waweze kua huru kuuza na kununua haki huku wakiwaambia raia ndio utawala wa sheria.

Lissu anadharau mafanikio ya uchumi kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara madaraja shule hospitali vyombo vya usafiri majini na kupiga vita uzembe na ubadhirifu etc ambayo mchango wake kwa vipato vya wananchi unaonekana badala yake anataka uhuru binafsi mtu kufanya analotaka.

Hapa inafaa kuona uhusiano wake na chama cha kimataifa cha mashoga ambao wanadai kutambuliwa na kuhemiwa tabia yao.

Nchi inahitaji tahadhari wakati Lissu atapanda majukwaani kusambaza sumu.
 
Hahahaha kweli Lumumba mmechanganyikiwa na Lissu. Hadi mnatia huruma. Poleni sana kwa kweli huyo Nd Lissu mliyemjenga wenyewe! Hofu dhidi yake ya nini?

Embu punguzeni threads zenu zinazozidi kuwaonesha ni kwa jinsi gani Lissu kawashika pabaya
 
Ukute ata Ujara Unamkomalia Lissu .

Tulia Dawa iwaingie Papala za nini na safari hii Ccm amlambi kitu .

Mtacheza adi Dama kwenye majukwa ila kula ampati
 
Tumejipanga kisawa sawa,hatuyumbishwi na wanaume zao mabeberu..

Hii ni nchi huru inamaamuzi yake.
Tukutane October 29,30
 
Back
Top Bottom