Kupiga kipepsi


Quemu

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2007
Messages
986
Likes
70
Points
145

Quemu

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2007
986 70 145
Zamani, kwenye michezo kama mpira wa miguu, mpira wa kikapu, nk; mchezaji akipigwa kwa kutumia kiwiko (elbow) tulikuwa tunasema amepigwa "kipepsi." Kwa nini tuliipa "kiwiko" jina la "kipepsi"?
Je msemo huo una uhusiano wowote na kinywaji cha pepsi?
 

Forum statistics

Threads 1,204,202
Members 457,149
Posts 28,145,845