Zamani, kwenye michezo kama mpira wa miguu, mpira wa kikapu, nk; mchezaji akipigwa kwa kutumia kiwiko (elbow) tulikuwa tunasema amepigwa "kipepsi." Kwa nini tuliipa "kiwiko" jina la "kipepsi"? Je msemo huo una uhusiano wowote na kinywaji cha pepsi?