me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
MmmmhZamani mimi nikitaka kukumaliza, nakupa nguo au viatu..
Hii nilikuwa nafanya kwa wabaya wangu tu.. Hasa chuoni..
Siku hizi nimeacha. Ipo siku nitaeleza the science behind it.. Na haiihitaji uwe mchawi/kingunge kufanikisha..
Hata hivyo naweza kukuelekeza namna ya kuzitumia bila madhara.. Ni kamtego kadogo tu ambako hakagharimu hata kilo moja ya sukari..