Kuperuzi mitandaoni kwanza,mengine baadae

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
278,618
1,128,559
17881211_1886283771655992_3638771987674824704_n.jpg
 
Mwenzio anampia mtu wa tax ya mtumbwi/boat wewe unaleta masihara.
 
Duh! Wakihamishwa wanadai wanaonewa mafuriko yakija lawama kwa serikari nimeona jana Kule Arumeru watu wamevamia mkondo wa maji mvua imenyesha mafuriko hayo maji yamejaa ndani mtu mmoja kapoteza maisha
 
Aisee mie wa mkoani siijui hio huduma. Ila nyumba inaonekana mpya ina maana wakati wa ujenzi hawakufuata ushauri wa wataalamu!jaman
Kova rescue com. Wanatoa huduma ya tax za boti.
 
Hatari kweli

Back
Top Bottom