Kupendwa, Kujaliwa

Aje mrembo? Arusha kwema? ile safari ya Denmark ulokua unaitamani imewadia ntakupa details full ukapande KLM nawewe....

nisalimie uncle zangu.

Bora niondoke mapema.........hebu nitumie hizo habari mara moja..........kabla KLM haijasitisha safari.......
Otherwise Chugga kupo poa sana........
 
Bora niondoke mapema.........hebu nitumie hizo habari mara moja..........kabla KLM haijasitisha safari.......
Otherwise Chugga kupo poa sana........

Ahsante tumebadili ndege tutaenda na Turkish airline mama tukaione na istanbul kidogo
 
Duuuh, Saalaale mna roho mbaya ivi? People by people... sasa aende kwa kwa mnyama au ndege au mamba akafunge urafiki!?
 
Woga na kucomplicate mambo ,,,,, hufanya maisha kuwa magumu sana.......
 
Mimi siwezi.........sijakuzoea halafu uanze kunicare........mwanamke mwezangu.......dunia hii ya sasa.......mweeee mweee.,.....

Halafu mwanamke mwenyewe ni Anti Luwulu! Lazima uachike tu!
 
Kuna ukweli lakini si wote mimi rafiki yangu mmoja wa kiume nilianza kwa kumuonea huruma maisha yake nikawa namsaidia pesa leo ni marafiki wa ukweli.Ila zawadi ya mwanaume kwa mwanamke sehemu kubwa huwa wanategemea malipo.

Una roho nzuri sana aisee
 

wewe tunaweza ku match
 
mi wakati nikomdogo kuna mamaalikuwa ananifananisha na mwanae akanipenda kama nini mpaka akawa anaiita jina la mwanae sijawahi kupewa upendo kama ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…