Binafsi hayo mazoea sitaki kabisa........hasa kwa sisi wanawake ndio kutafutana umbea...........
Hahahahah
Niliwaambiaga wadada fulani kuwa sitaki mazoea maana ndio kutafutana umbea, nilinuniwaje????
Hahahahah
Niliwaambiaga wadada fulani kuwa sitaki mazoea maana ndio kutafutana umbea, nilinuniwaje????
Mi wanawake wote waninunie huwa sina shida.........lakini sio wanaume.........nitajitundika wallah.........
Hahahahah
Niliwaambiaga wadada fulani kuwa sitaki mazoea maana ndio kutafutana umbea, nilinuniwaje????
Ha ha ha ha, unawahitaji wote tu.
Sio muwe marafiki, lakini msiwe maadui. Imagine ni jirani yako, mkiwa maadui itakuwa ngumu hata kama humtegemei.
Sina hakika kama kichwa cha habari kinabeba nachotaka kusema, ndio maana nimeweka kama swali.
Kuna ile unaishi na majirani au ofisini, basi inatokea mtu anakujali kuliko wengine au anajaribu kutengeneza ukaribu kwa makusudi kabisa. Yaani unaona s/he is trying too hard kuwa karibu yako kwa kukuletea vitu au kila saa kukufuata na kuongea hata kama hakuna common interest.
Kama ndio majirani utasikia watoto wameletwa waje wacheze na wa kwako. Kama wakubwa basi wanatumwa kuja kukusaidia sijui nini. Mradi tu someone is all over you.
Na hii ipo pia kwenye shule za wasichana, mtu anakujaali bila sababu ya msingi, unabaki unashangaa anataka nini?
Sasa mie huwa nakuwa very uncomfortable, siamini kuna free lunch duniani kiasi hicho, sijui how to reciprocate kujali huko. Nakuwa naona kama mtu anainunua roho yangu.
Wengine huwa mna deal nayo vipi hii?
Yaani tuwe washkaji tu.......ile ya kivile.......sio wale wa kupika na kupakua.......
Mi wanawake wote waninunie huwa sina shida.........lakini sio wanaume.........nitajitundika wallah.........
Na hii ndio huwa nzuri.
Ujue hii ni mojawapo ya sababu nilishindwa shule za wasichana, too much caring, bora iwe kutoka kwa mwanamme utajua anataka nini. But kutoka kwa ke, its confusing, sijui how to deal with it.
Hehehehe msg zangu huwa hujibu lkn
Epuka kuwa na preconceived idea kuhusu masuala tofauti, life is a play kwanini basi usiusome mchezo na kujipanga ili ucheze vizuri. Kama unahisia mbaya na kitu na kinakufanya uncomfortable ni heri kukiepuka lakini vilevile kuwa mwangalifu na akili yako usiibane sana unaweza kuwa unafukuza watu wema kwenye maisha.
Mm nakuwa comfy kama ni jinsia tofauti ila kwa mwanaume mwenzangu hapana....unakuta mtu anakutumia msg za g9t na,morng daily
I cn chat wit a woman hata zaidi ya msg mia kwa siku lkb kwa mwanaume zisizidi 15
Asante kwa kunielewa, imagine jinsia moja anakutumia 'i love u'. Ok, kwa wanawake ni common, but.....