Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,329
- 33,139
Wacha utani Mkuu. Toto linaniua hilo, halafu kwa mahanjumati ndiyo mwenyewe. Mashalaaahhh- nabata ushungu walaahhiHuwezi kumpata bibi farkhina amesha olewa mtoto wa kiarabu tafuta mchumba mwengine umechelewa mkuu.
Mbona picha nyingi the couple is a black man with a white woman, na hakuna white man with a black woman! strange:disapointed::disapointed::disapointed::disapointed:
Kumbe hayo ndio mapenzi?
Fikra zangu ziliwaza mbali kuliko hivo....
Ulikuwa unawazia mbunye?