Mwanamke kumkimbia mumeo kisa kaumwa na kushindwa kukimbiza si utu

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Hili nalo lakutazamwa wajameni.

Mmeoana jamaa yupo sawa na speed yake unaielewa, imetokea bahati mbaya kaumwa na magonjwa haya jamani kama mnavyoyaelewa mara sukari, mara presha looo! unakuta hawezi tena kwenda na kasi.

Mhhhh hapo hapo unakuta vitimbi vinaanza mara anataka waachane,mara anaanza kumcheat mara kumjibu vibaya unaskia eti " kwani una madhara gani?" Jamani tukumbuke kupendana kwenye shida na raha
 
Kuna issue moja imetokea mtaani ,kuna mama mmoja mlokole ana mume na watoto 3.

Mume wake alipoteza kazi wakati ule wa mwenda zake ikatokea kutokuelewana baina ya wanandoa hao.

Mama akawa anachepuka kwa madai ya kutokuwa na hisia na mumewe, sasa jana hiyo njemba (mchepuko wa huyu mama) amepata ajali ya pikipiki, mama wa watu analia kwa sauti anasema amebaki mjane.

Ndoa sio jela.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom