Mzee ulifanikiwa kukubaliana na wife lile swala la bajaji?Hii Picha na Sehemu waliyopiga inanifundisha mambo mengi sana!
![]()
Nadhani Inajieleza Ngoja nisiongezee chumvi.. True Story
Ethos..
Huyu atakuwa Mwalimu. Na harusi imefanyikia darasani.Na Pengine walikuwa yeye na mchungaji tu. Hakuna haja ya kuita kujiji. Hii ni mkoani tu na wadada wanaojoua kuwa kunasiku maisha yatabadirika. Dalasalamu huwezi ona hii[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hii Picha na Sehemu waliyopiga inanifundisha mambo mengi sana!
![]()
Nadhani Inajieleza Ngoja nisiongezee chumvi.. True Story
Ethos..
Ile bustani watoto wanaomwagilia kila siku asubuhi ndio ImetumikaHuyu atakuwa Mwalimu. Na harusi imefanyikia darasani.Na Pengine walikuwa yeye na mchungaji tu. Hakuna haja ya kuita kujiji. Hii ni mkoani tu na wadada wanaojoua kuwa kunasiku maisha yatabadirika. Dalasalamu huwezi ona hii[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hivi yale MAUA YA SAA NNE bado yapo??!! Kwa msioyajua ni maua fulani ikifika saa nne asubuhi ndio yanachanua! Ila zamani kulikuwa na maua ya ajabu. Mengine tulikuwa tukiyaambia 'baba ako na mama ako wamekufa' yanajikunja!Ile bustani watoto wanaomwagilia kila siku asubuhi ndio Imetumika
[HASHTAG]#WhatWouldMagufuliDo[/HASHTAG]?
kwahiyo dar wanaishi matajiri tu?Huyu atakuwa Mwalimu. Na harusi imefanyikia darasani.Na Pengine walikuwa yeye na mchungaji tu. Hakuna haja ya kuita kujiji. Hii ni mkoani tu na wadada wanaojoua kuwa kunasiku maisha yatabadirika. Dalasalamu huwezi ona hii[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hayo hapo kwenye picha mkuu.Hivi yale MAUA YA SAA NNE bado yapo??!! Kwa msioyajua ni maua fulani ikifika saa nne asubuhi ndio yanachanua! Ila zamani kulikuwa na maua ya ajabu. Mengine tulikuwa tukiyaambia 'baba ako na mama ako wamekufa' yanajikunja!
hahaha...mkuuu umenivunja mbavu..yale ya saa nne yapo bado..ila ya hayo baba yako amekufa hahaha siyajuiHivi yale MAUA YA SAA NNE bado yapo??!! Kwa msioyajua ni maua fulani ikifika saa nne asubuhi ndio yanachanua! Ila zamani kulikuwa na maua ya ajabu. Mengine tulikuwa tukiyaambia 'baba ako na mama ako wamekufa' yanajikunja!