Kupenda si kanuni

Kupenda si kanuni

My love unajua venye nakupenda, uwepo wako kwangu umefanya nione maisha yalivyo na furaha!!

Popote uendako jua uko kwa moyo na akili yangu, kila wakati namkumbusha Allah azidi kukuongezea malaika wa kukulinda love, najua kwa akili zetu hatutaweza!

Mungu akutunze tuu jamani kwa ajili yangu!!
Taja jina wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na Sie Tulio Single Ngoja Tuufunge Mdomo
Usipende kujitengatenga bila sababu maalum ni hatari kwa afya ya ubongo wako! hata single wanapenda.. mbona hata uzi umeandikwa na si...le
 
Shunie

Nakupenda mwenzio [emoji173][emoji173][emoji7][emoji7][emoji9][emoji9][emoji10][emoji10][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️

Nimemaliza
 
hahaaa mods watakuwa wamevuta cha arusha ..sio bure "".
Halaf kuna mtu alilalamikia mods kwamba niache kuipost sjui mpaka niwaisliane na mwandishi ikiwa mwandishi ameshafariki na sikuona ubaya kuishare tu mods nao wakauhamisha wanakojua wao
 
Back
Top Bottom