Kupenda si kanuni

Kupenda si kanuni

haya bhana naona "" mnatulingishia....ngoja mie "" nimkumbatie mdoli wangu " Samantha "....Mambo ya kuja kupata jipu la Moyo kwaajili ya wivu wa mapenzi sitaki mie
 
My love unajua venye nakupenda, uwepo wako kwangu umefanya nione maisha yalivyo na furaha!!

Popote uendako jua uko kwa moyo na akili yangu, kila wakati namkumbusha Allah azidi kukuongezea malaika wa kukulinda love, najua kwa akili zetu hatutaweza!

Mungu akutunze tuu jamani kwa ajili yangu!!
 
haya bhana naona "" mnatulingishia....ngoja mie "" nimkumbatie mdoli wangu " Samantha "....Mambo ya kuja kupata jipu la Moyo kwaajili ya wivu wa mapenzi sitaki mie
Hahahahahhaa
 
Back
Top Bottom