Kupenda sana/kidogo ndo kukoje..??

kupenda sana; 1.kurespond haraka kwa kila jambo utakaloambiwa na mpenzi wako kulifanya wakati mwingine bila hata kuwa na muda wa kureason,kuangalia kama kuna logic
2.kukubali hata kutoroka kazini,muda wa kazi,mara kwa mara,ili kwenda kukutana na mpenz wako, bila kujali kuwa tabia hiyo inaweza kukuachisha kazi kijinga
3.kumpigia simu,sms mara kwa mara huku yeye amekaa kama operator,kusubiri simu zako na sms,hata kama yeye hakutafuti,usipomtafuta hata masaa 2, akikukoromea, unaanza kuomba msamaha,ili usiharibu mahusiano
4.kujitahidi ku care beyond uwezo wako,kuwa tayari hata kudanganya kwa rafiki zako una shida ya haraka kama laki 1,utawalipa mshahara ukitoka,then unaenda kumpa mpenz wako aende salluni
5.Mapenzi yenu kuendeshwa kwa misingi ya SLAVE AND SLAVE MASTER, yaani SLAVE=WEWE, SLAVE MASTER=YEYE. WEWE hutaliona hilo,ukijiaminisha kuwa ni wajibu wako kucare that way,kumbe mwenzako anakuona *****, sehemu ya kuchuna mpaka tone la mwisho.

KUPENDA KAWAIDA
1.Kutorespond haraka kwa kila jambo utakaloambiwa na mpenz wako,i.e- kukaa chini na kutafakari kama jambo uliloambiwa linahitaji uharaka anaouhitaji au la(be logical). e.g huwezi ukachomoka kazini,just because amekupigia akikuomba uende haraka gheto kwake kuna panya kapita ghafla,na yeye anaogopa kushuka chini ya meza.
2. Kutokubali ku risk mambo yako ya maana,just kukutana na yeye,kuwa muwazi kuwa saa flani mpaka saa flani ntakuwa kazini,there is no way kwa sisi kuonana ktk muda huo, hata kama akilazimisha,unamkatalia,huwezi ukaleta mdhaha na kazi inayokuweka mjini.
3.usikubali kuweka utaratibu wa namna hiyo ktk mahusiano yenu. YOU ARE NOT MADE OF STEEL/STONE/NON LIVING OBJECT. Umwambie unajisikia raha/relief unapopigiwa au kuandikiwa meseji naye,siyo kila siku wewe 2 do unapiga na ku sms, asipobadilika,onyesha kwa vitendo, uchune, usimpigie simu/sms ili uone je na yeye huwa anakumiss? anaweza kufika mahali akkupigia simu/sms. asiporespond, endelea kuuchuna , akilalamika, mwambie hukuumbwa kupigia watu simu/sms, you need to trace me too. LOVE IS SOMETHING MUTUAL,BOTH DIRECTION, NOT UNIDIRECTIONAL/SINGLE DIRECTION. Akileta UJEURI, MPOTEZEE,PIGA CHINI, MUNGU ATAKUJAALIA KUMPATA ATAKAYEKUWA ANAMAANISHA/SERIOUS
4.DO NOT CARE BEYOND YOUR ABILITY. MWeleze uwezo wako mwisho ni kiasi flani, akianza kulilia care eyond uweo wako ,mwambie huwezi kufanya hivyo. usijifanye kidume wakati huna kitu. akidengua kimpango wake. usiingie gharama mpaka unakopa kama hakuna sababu ya msingi. e.g unakopa ili umnunulie pete ya uchumba ya milioni 2, wakati mshahara wako laki 3 kwa mwezi. kopa kama mama au ndugu ama wako/wake anahitaji operesheni na hela hamna ukoo umejichanga ukapata kiasi flani,then unaweza kopa ku top up,na mambo significant yafananayo na hayo.
5.Mapenz yenu yasiendeshwe kwa misingi ya SLAVE AND SLAVE MASTER. wote mpeane care, na siyo wewe ndo utoe care ,yeye ameweka miguu juu anasubiri care zako. hayo sio mapenz,ni kupotezeana time. YOU WILL NOT MAKE A GOOD HUSBAND AND WIFE

kaka huo ndo ushauri wako, kama vipi,ukiupotezea ,sawa, utamsaidia na mwingine atakayeusoma, ukiufanyia kazi ,UNALIPA, WISHING YO GOOD BOXING DAY[/QUOTE
thanx
 
kaka huo ndo ushauri wako, kama vipi,ukiupotezea ,sawa, utamsaidia na mwingine atakayeusoma, ukiufanyia kazi ,UNALIPA, WISHING YO GOOD BOXING DAY

sante baba, umenifungua macho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom