Kupenda Raha jamani

Kupenda Raha jamani

Umeitoa as if author wa hiyo definition ni wewe....kitaaluma kila tunapochukua sentensi ya mtu lazima tumuandike kua tumem-quote,tena kwa jina lake halisi na kitabu au paper yake alitoa!

Ufanye proper citation!

Wewe umejiongelesha as if wewe ndio owner wa hiyo definition....Umefanya kosa kubwa sana la plagiarism!

Usirudie hilo kosa tena!

Unajifanya msomi kwa kutumia kazi za wengine bila kuwataja!
Ha ha ha ha ha.......

Tatizo unakurupuka sn.... Nakushauri usiwe unakurupuka hivo sn.

Sasa Kwa faida yako. Author wangu wa hiyo kauli yangu ni Mungu. Sasa nkuulize bado unawaamini hao wafanya research wako na wanazuoni wako au umebadili msimamo?

Hizo sheria ziko kwenu nyie wabinafsi maana Yule aliesema tupendane si mbinafsi. Najua hapa pia huezi nielewa maana weye waelewa kinyume cha Upendo ni chuki kumbe si hivyo
 
Kwa kukusaidia,kuna mambo machache naomba tuyaweke sawa kabla hatujaendelea:

sn=sana
huezi=Huwezi
weye=wewe

Tushamaliza hayo,sasa basi:

Mungu wako ni author?Kaandika kitabu lini?Who is a publisher?

I didnt know God can write books,can he make a movie or documentary?

I wonder this God ambae anaandika vitabu kama wanadamu is really a God....He must be a certain stupid human being just like me!

How can you worship a book writer?

Nani alisema tupendane?Mtaje.

Kinyume cha "Upendo" ni nini kama sio "Chuki"?Hebu tuelemishe the opposite of the word "Upendo",we gonna learn today....!
 
Teh Teh Teh naona sasa umejaa upepo kweli kweli na kuporomosha miswali lukuki ha ha ha,

Usitumie nguvu sn oooops nimekosea kuandika sn nsije nkasahihishwa sn= sana... Oooops kumbe nimezidi kubondanga ktk maelezo yangu nsije = nisije nkasahihishwa = nikasahihishwa [emoji23][emoji23]

Kuna kibabu hapa wa kifimbo cheza asije ntandika bakora.

Umekwisha kusema You didn't know. Km you didn't know sasa hayo maswali mengine wauliza ya nini?
 
I dont know what?

Hivi ukijibu maswali utakufa?
 
I dont know what?

Hivi ukijibu maswali utakufa?
I'm here in class with an exams in my hand that I ought to answer all the questions?

Buddy, we are here just to chill and talk a bit...... So coming with much questions drags out my chilling.... You gotcher?
 
Kama mtu umetoa post,then ina maana upo tayri kwa meaningful discussion with wachangiaji...

Ungekua unapenda ku-chill sana zaidi ya hizi discussion yanini umeweka post sasa?Unge-chill mazima no one angekufata!

We are in JF to discuss stuffs,watu hawaji JF ku-chill!

Ku-discuss na ku-chill kwenye online platform kama JF ni vitu viwili oxymoronic havichanganyiki....

Umeanzisha mjadala,na maswali ni mojawapo ya mjadala,ghafla unajifanya nataka ku-chill,is JF the right place ku-chill kweli kwa maana halisi ya neno ku-chill?

Halafu usiwe myopic namna hii...maswali hayaji kwenye exams darasani tu,yanakuja kwenye maisha yetu ya kila siku..unaposema haupo darasani hivyo hutaki maswali unakua unadanganya mno!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom