Kupenda Raha jamani

Kupenda Raha jamani

Kumpenda mtu sio natural state....Ni transitional state,it is unstable state!

Kupenda mtu au kuchukia mtu ni very transitional and un-natural state.Hii stage inaletwa na arousals kutokana na external causers hivyo sio permanent.Ubongo unakua altered,unakua haupo kwenye normal state ambao ni "ukichaa"...

Bwana Conte kupenda au kuchukia ni ugonjwa,unahitaji counselling urudi normal state!

Mapenzi ni ugonjwa wa akili.....

Chuki pia ni ugonjwa wa akili....

State ya kawaida ni HURIA....

Ndio inafanya dunia kua normal na amani.....mapenzi na chuki ni hali hatari sana!
We ni wa jinsia gani?
 
We ni wa jinsia gani?

Ukishajua jinsia yangu itakusaidia nini?

Hukuelewa post yangu labda?

"kupenda" au "kuchukia" ni temporary conditions....hivyo ukitulia ukarudi kwenye normal state utagundua unakishabikia now ilikua ni ugonjwa tu wa muda!

Hahahahaaa
 
daaa nimeamini wanawake wana huruma, eti nae mtoa mada kapendwa.
womans needs kusuguliwa vizur na pesa
 
Ukishajua jinsia yangu itakusaidia nini?

Hukuelewa post yangu labda?

"kupenda" au "kuchukia" ni temporary conditions....hivyo ukitulia ukarudi kwenye normal state utagundua unakishabikia now ilikua ni ugonjwa tu wa muda!

Hahahahaaa
Hujajua na wewe kitu kimoja.

Ngoja nkupe hiki.

There is no fear in love, because fear involves torments andlove cast out all fear. Whoever fears has not made perfect in love.

Kazi kwako na wewe na ugojwa wako wa kua huru
 
Wapi nimeongea neno "FEAR"?

Uwe na love usiwe na love mwanadamu anakimbizwa na FEAR regardless!

It is really hilarious vi-definition vyako vya LOVE ndio sahihi kwa kila mwanadamu?Who told you that?

Nani kakwambia HURU ni ugonjwa?

Unajua definition ya "ugonjwa"?
 
Ha ha ha ha ha so do you want us to believe the definition from philosophers?
 
Ha ha ha ha ha so do you want us to believe the definition from philosophers?

Haya,who is credible between "YOU" and "PHILOSOPHER"?

Tumuamini msomi alie-spend maisha yake kufanya research ya jambo hilo au wewe au mimi some random internet dudes?

Honestly,Who do we suppose to believe between you two?
 
Do you know the author of what I said about Love?

If you knew who is author , you would not come and ask me such a question.
 
Do you know the author of what I said about Love?

If you knew who is author , you would not come and ask me such a question.

Umeitoa as if author wa hiyo definition ni wewe....kitaaluma kila tunapochukua sentensi ya mtu lazima tumuandike kua tumem-quote,tena kwa jina lake halisi na kitabu au paper yake alitoa!

Ufanye proper citation!

Wewe umejiongelesha as if wewe ndio owner wa hiyo definition....Umefanya kosa kubwa sana la plagiarism!

Usirudie hilo kosa tena!

Unajifanya msomi kwa kutumia kazi za wengine bila kuwataja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom