Watu hawapendi picha bali wanampenda mtu.Picha ni kivutio tu...kama chumvi au mafuta kwenye chakula sivyo vinavyoshibisha ila ni vionjo tu vya kuongeza test kwenye chakula!Mtu akisema kakupenda kisa kaona picha yako bila kuongea na wewe ni usanii tu..anakua ametamani alichokiona!Nakumbuka kuna mtu alionaga picha yangu kwenye gazeti akanitafuta..hakuniambia amenipenda ila alitaka kunipa pole.Baada ya kuongea kwa muda ndo akasema ametokea kunipenda...alichopenda sio picha ni mtu aliyeongea nae.

Dah! Si mchezo LecturerYeh teh teh mie mbona
nilikufia avatar ya mtu mmhh
Seriously..
kwa mimi ninavyoona upendo umegawanyika
Sehemu kuu tatu
1. Physical (appearance etc)
2. mentally
3.emotional .....
Hivyo vitatu vikikutana hapo ndo kuna CHEMISTRY ya kweli..
Nway mimi naona hapo we umeongelea kitu kimoja tu
Kwa hiyo hiwezi sema kupenda kubaya wakati umeangalia sehemu moja tu..
Kweli huwezi jua ni yupi utakaye spent the rest of ur life with
Labda itaanza na hiyo picha na kuendelea kuwa kitu kizuri.
kwani mapenzi yana mwanzo na kila mtu mwanzowake ni tofauti..
Ni kweli wengi siku hizi bila kuweka mapozi na make up
Hawaweki picha zao kwenye net.. lakini na we unatakiwa utumie akili
umesha jua hilo lipo kwanini unaenda kichwa kichwa?
UsemA ukweli mapenzi ya kwenye net yanakuwa na
kuongezeka kwa kasi sana.. take caution becareful..
tumia kitu kama skype inasaidia sana
Have a great weekend..
Ps. Topic ngumu kwa weekend akili imechakachuliwa kidogo..
peace.
Dah! Si mchezo Lecturer
Yaani anataka kusema kupenda ni kubaya no sikubaliKha karibu darasani
Angaliambele,kitu ninachotaka
kuona juu yameza ni daftari yenye line
Zablue na kalamu moja tu..
Nway we unasemaje kuhusu hii topic..?
Hahahahahahahah haya bwanaYaani anataka kusema kupenda ni kubaya no sikubali
Nitakataa hadi ni RIPHahahahahahahah haya bwana
Hahamhahahaha naona hiyoNitakataa hadi ni RIP
Nimeishamaliza tano sijui watanifanyia surgeryHahamhahahaha naona hiyo
Long Island inakupekeka
Kwenye ile island hahaha lol
Nimeishamaliza tano sijui watanifanyia surgery
Na huko kupenda penda unaku-define vipi?yeah, nakubali kupenda siyo kubaya ila kupenda penda ndiyo kubaya. Nadhani kuna utofauti wa maana ktk kauli hizo mbili kwa tunaojua
Miatu fiyl-miat(100%).Mapenzi ya picha sio yakuamini sana.