Sazira kwetu
Senior Member
- Aug 23, 2015
- 155
- 104
Ah ah ah uhii. Pm hapana y msitoe ushaur hapa hapa wengine tujifunze kutokana na makosa. Kwel kufa kufaana. Ipo siku watu watachat na baba zao humu. Mara ooh tuonane kitu unakuta mzee wako ah ah ah pm sio nzur aisee. Fake ID nazo zinasaidiaNjoo na lako uje uone shuhuli yake.... mi nshaenda kutoa ushaur wangu wa pm nasubiri majibu hapa...
wacha wee,unapalilia kwa mbaali.halafu mie sijui kwanini huwa nawapendaga sana hawa Tutsi glz!
Acha ulongo weweSiwezi
Ah ah ah uhii. Pm hapana y msitoe ushaur hapa hapa wengine tujifunze kutokana na makosa. Kwel kufa kufaana. Ipo siku watu watachat na baba zao humu. Mara ooh tuonane kitu unakuta mzee wako ah ah ah pm sio nzur aisee. Fake ID nazo zinasaidia
Pm txt haziingii ipo full hata kusomeka hazisomeki ah ah ahha ha ha ha kuna ushaur mwengine uko ki binafsi zaid... embu chek pm yako sa hivi uone mfano wa huo ushaur.....
Pm txt haziingii ipo full hata kusomeka hazisomeki ah ah ah
Tatizo lako haujajaribu kwingine ukaona hali ikoje!!! hebu ni PMYes ni mpenzi wangu wa kwanza
Hebu tumia hiyo nahis zitafika bila kikwazo jam itakua sio kubwa ah ah ahahaa nmekuelewa bas ntatumia ile njia nyengne tulioizoea au wasemaje.... nafikir huko utaupata..
Ah ah ah ah jaman watu mnajua kutumia opportunity looTatizo lako haujajaribu kwingine ukaona hali ikoje!!! hebu ni PM
Wewe ni mwalimu wa lugha? km umemuelewa msaidie kimawazo.Unaweza kuandika kwa Kiswahili fasaha mwanzo-mwisho?
Unaweza kuandika kwa Kiingereza fasaha mwanzo-mwisho?
Opportunity never come twice, hebu na ww ni PM ili wakati wao wanazungumza ya kwao kule na sisi tuweka yetu sawa huku hahahahaha.......Ah ah ah ah jaman watu mnajua kutumia opportunity loo
Pm hazitoki ah ah ahOpportunity never come twice, hebu na ww ni PM ili wakati wao wanazungumza ya kwao kule na sisi tuweka yetu sawa huku hahahahaha.......