Kupenda kukoje?

Umeelezea vizuri sana na ni ukweli kabisa that feeling when you're love is very special and amazing. Saa zote unakuwa na furaha kubwa sana ambayo haielezeki na mara nyingi humfanya mtu atabasamu kwa muda mwingi sana hata akiwa pekee yake na wanadai hata moyo huwa " unatabasamu"

Mkuu hata kama nje mabomu yanarindima wewe unasmile.
 
Reactions: BAK
Mm mwenyewe cjawahi kupenda nackiaga tu watu wamegombana kisa mwanaume ila mm wanaume wote naona km kaka zangu!!
 
inakuwa na nini au ndio imeungwa maana skuiz naskia mpaka chai haioni ndani
Hiyo ninayoongelea ni natural feeling, ambayo kila binadamu ana iexperience, unakuta the most power full man in the world lakini kuna corner anakonda mwenyewe.
 
Reactions: BAK
Mm mwenyewe cjawahi kupenda nackiaga tu watu wamegombana kisa mwanaume ila mm wanaume wote naona km kaka zangu!!
Kama bado unaishi duniani utakutana nayo tu, omba uzima.
 
Reactions: BAK
Hiyo ninayoongelea ni natural feeling, ambayo kila binadamu ana iexperience, unakuta the most power full man in the world lakini kuna corner anakonda mwenyewe.

Aaaa mimi bado madam labda nikikja muheza utanifundisha live sina fujo 😵😵😵 yaani sintokupa wakat mgum kama baba mwenye nyumba
 
Mm mwenyewe cjawahi kupenda nackiaga tu watu wamegombana kisa mwanaume ila mm wanaume wote naona km kaka zangu!!

Eee totoo na utuone ivo ivo huwa hatuna urafiki wa kivileee na uadui wa kivileee
 
Una undugu na Miss Natafuta?
 
Na bahati pia ya kukutana na mwanaume ambaye ataufungua moyo na akili yake kumuonyesha penzi la ukweli.

Kama bado unaishi duniani utakutana nayo tu, omba uzima.
 
Lini sasa wakati nimeanza kuzeeka!!

wadada wa namna yako huwa ni watam na wanadum kwenye mahusiano maana hamkeri mnakutana mnanjanjuwana kila mtu anaenda kukutana na family yake
 
Na bahati pia ya kukutana na mwanaume ambaye ataufungua moyo na akili yake kumuonyesha penzi la ukweli.
Yah, mara nyingi tunashindwa kusoma nyakati, unakuta mwanaume anaekupenda kwa dhati unamdharau unatawapenda wale wadanganyifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…