Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 767
- Thread starter
-
- #41
Hebu wasiliana na Miss Natafuta, maana na yeye kuna thread anaulizia jinsi ya kumpenda mtu watulie, mna double coincidence of wants nyie.
Ushauri: Nifanyeje niishi na mwanaume bila kumuudhi?
Mr natafuta nakushauri mtafute Miss natafuta atakufaa zaidi kukutatulia tatizo lako.
Ukimpenda mtu, unapomwona tu, moyo unaanza kudunda boom, boom, boom.... Na moyoni utakuwa radhi kumpa CHOCHOTE anachotaka. Nasema chochote maana ndivyo ilivyo-iwe ni nyumba au gari au chochote. Mpenzio asipokupigia simu siku nzima, lazima utataharuki. Na akisafiri unam- miss ile mbaya. Kama wewe ni mwanamke halafu feelings kama hizo hujawahi kuzipata, basi kitaalamu wewe unaitwa 'frigid' (yaani huna hisia bali ni 'baridi' kama friji). Kama wewe ni mwanaume, basi ni wale wanaoitwa 'players' - hatulii, anaonja kila kitu na hachagui. Mtu wa kawaida lazima anafika mahali anapenda kwa dhati. Mara nyingi mtu anayeshindwa kupenda kwa dhati ana jini mahaba linalomsumbua. Atajikuta anaota ndoto za ngono n.k. Duniani hakuna kitu kitamu kama kuwa na mtu anayekupenda na wewe unampenda-hakuna! Hata ukiwa na matrilioni ya dola kama huna mtu anayekupenda kwa dhati (sio kwa sababu ya pesa zako), utajiri wako ni bure. Yaani utamu wa kupendwa acha tu!!!!
Ha ha ha
Mi nimeshakupenda wewe
Watakaohitaji fursa ya Mr natafuta watamcheck
Ikifika siku ukaweza kuhamisha 'attachment' yako kutoka kwa pesa mpaka kwa binadamu mwenzio hapo sasa utakua umependa.
Mr natafuta leo umekuja na uzi hujui maumivu ya mapenzi. Na leo miss natafuta kaja na uzi anatafuta bf wa uhakika amechoka kuruka ruka. Mmhh sijui mnajuana nyinyi au mtu mmoja ID tofauti.
Ndukiiiii
Ukimpenda mtu, unapomwona tu, moyo unaanza kudunda boom, boom, boom.... Na moyoni utakuwa radhi kumpa CHOCHOTE anachotaka. Nasema chochote maana ndivyo ilivyo-iwe ni nyumba au gari au chochote. Mpenzio asipokupigia simu siku nzima, lazima utataharuki. Na akisafiri unam- miss ile mbaya. Kama wewe ni mwanamke halafu feelings kama hizo hujawahi kuzipata, basi kitaalamu wewe unaitwa 'frigid' (yaani huna hisia bali ni 'baridi' kama friji). Kama wewe ni mwanaume, basi ni wale wanaoitwa 'players' - hatulii, anaonja kila kitu na hachagui. Mtu wa kawaida lazima anafika mahali anapenda kwa dhati. Mara nyingi mtu anayeshindwa kupenda kwa dhati ana jini mahaba linalomsumbua. Atajikuta anaota ndoto za ngono n.k. Duniani hakuna kitu kitamu kama kuwa na mtu anayekupenda na wewe unampenda-hakuna! Hata ukiwa na matrilioni ya dola kama huna mtu anayekupenda kwa dhati (sio kwa sababu ya pesa zako), utajiri wako ni bure. Yaani utamu wa kupendwa acha tu!!!!
Jamani me mwenyewe tatizo hilo ni sugu Mara kibao nagombana na mke wangu kisa sijui kupenda eti namdharau
pendwa na chotara ni shiidahKupendwa ni kero sana mdau ni hatari mnooo
Mkuu hizi feelings natamani nisingekuwa nazo kabisa manake zinanifanya ninywe mipombe tuu sasa hivi...Kupenda ni ile hali ukimuona yule unaempenda kuna chemical/hormonal reaction kwenye mwili wako ambayo hata wewe huwezi kuielezea. Uko radhi kufanya chochote kwaajili ya yule unaempenda, hata ukiwa umekasirika ukisikia tu jina lake hasira inamalizika. Ni feeling moja amazing, pole sana kama hujawahi kuiexperience.
Inaelekea huyo mwenza huko karibu nae, akiwa karibu hata nje kukiwa na vita wewe utatoka ndani unasmile.Mkuu hizi feelings natamani nisingekuwa nazo kabisa manake zinanifanya ninywe mipombe tuu sasa hivi...
Wewe si unakitoto ulichokitoa bikra umekiri mwenyewe uwezi kukiacha,lazima mapenzi yalege kwa mkeoJamani me mwenyewe tatizo hilo ni sugu Mara kibao nagombana na mke wangu kisa sijui kupenda eti namdharau
Hata mimi nimewahi kuwa hivyo yani girl hata atake tuachane siumii, nikawa nashangaa marafiki zangu mpaka eti mtu anachanganyikiwa nikawa nasema nyie mmerogwa.. Lakini kuna siku niliamini mapenzi noma baada ya kuzama kwa mtoto mmoja mkali mana siku amenitumia text kwamba" its over between us" nilishidwa kula so naamini time bado utapatwa tu just wait..
Mkuu hizi feelings natamani nisingekuwa nazo kabisa manake zinanifanya ninywe mipombe tuu sasa hivi...
Mkuu nakunywa vodka za kirusi tuu sasa hivi nijisahaulishe hayo maujingawatu wengi wanaonekana wamepatikia kwenye hizi mbio ee ?
Mkuu nakunywa vodka za kirusi tuu sasa hivi nijisahaulishe hayo maujinga
Sasa ni vodkaKwahiyo rally hutaki tena ? hupambani tena ? sarakasi za jasho hutaki ? 😵