Kupenda 'happy ending' na madhara yake

Status
Not open for further replies.

1.3m to 40bln

New Member
Dec 15, 2014
3
0
Kama kijana ambaye still natafuta angle ya kuwa fulani kesho..still naona tatizo la vijana wengi,
Kupenda historia nzuri za mafanikio za most succesful pepoz na to build their dream on them..bila kutaka kujua kuwa kabla ya mashua kufika pwani dhoruba ngapi ilikwepa
#mabadiliko ni wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom